Samahani kama nitakuwa nimekosea ila simu kama mpaka zimefungwa zitakuwa za wizi, utanunuaje simu ipo locked. Mm na nunua sana simu toka nje ila kabla sijanunua na angalia kama ipo locked.
Hii ni tamaa, kwani umekatazwa kufungua thread yako? Au labda haujui kutangaza biashara unaingilia ya watu. Na hizo bei zilivyo ndogo lazima kuna kitu hapo. Inabidi ujieleze zaidi kwa thread yako weye.
Mamakibunju Simu zwko ulifungulia wap. Maana ninayo bb q5 imefungwa
mama weka mawasiliano hapo tuje mi naitaka hyo z10
Ok. Umeeleweka. Ya kwangu iko locked to specifi sm card
Huyu jamaa ni mwizi anakuja kuuza simu za wizi humu tumekustukia labda ukauze ubungo stendi ya mkoa humu tumestuka
It seems. Sijajua kwa nini anajikanyaga sana kuweka beiHana jipya huyu una muuliza bei ana zunguka zunguka tu atakua ni mbabaishaji tu huyo
mbona unavamia tangazo la mjasiriamali mwenzako?~!Me Ninayo blackberry Z10 kwa 450,000 , Samsunga Galaxy S3 Mini 380,00, Lumia 610 300,000 , Galaxy S4 mini 550,000 na Iphone 5 500,000(iphone ilikuwa na water damage lkn imetengenezwa na apple shop uk inafanya kazi kama mpya)....SIMU ZOTE ZILIKUWA LOCKED NA UK NETWORKN LKN ZIMEFUNGULIWA INGAWA LOGO YA NETWORK BADO IPO
mbona unavamia tangazo la mjasiriamali mwenzako?~!
Mamakibunju sijapenda tabia yako kuingilia tangazo langu na kuweka lako kwenye coments. Mpaka sasa tunachanganyana na kuaribiana biashara. Kama una account unashindwa nn kuanzisha post ya kwako!?
Huyu jamaa ni mwizi anakuja kuuza simu za wizi humu tumekustukia labda ukauze ubungo stendi ya mkoa humu tumestuka
Umelipia kiasi gani kwa hilo Tangazo lako, Ni Report kwa MD anipige Ban
Roho mbaya kama wahindi wa iMTU
Mama, tatizo siyo kalipa kiasi gani,ni ustaarabu tu, mtu kafungua thread anajaribu kutafuta chochote kitu si ustaarabu unakuja kupandia juu na wewe unauza bidhaa zilezile! Pendaneni jamani, mbona kufungua thread ni rahisi na ni bure!