Ebu angalia thread ngapi me nimeshaweka za kuuza vitu na watu wameweka matangazo yao na wanauza vitu vyao na bei ndogo kuliko niliyoweka mimi! Nyie ndio mnaoshinda kwa waganga kuroga .....Sifungui Thread yangu na ukifungua nyingine naweka tangazo pia...
#DealwithiT