PATA SIMU ZA ONE PLUS KWA WANAOZIJUA HIZI SIMU WANAELEWA

GiftedMan94

Senior Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
114
Reaction score
359
OnePlus 7 🖤
8gb Ram + 256 Rom
Tsh 1.55million

OnePlus 7 Pro 🖤
8gb Ram + 256gb Rom
Tsh 1.95million

OnePlus 6T McLaren 🖤
10gb Ram + 256gb Rom
Tsh 2.1million

OnePlus 7 Pro 💙
12gb Ram + 256gb Rom
Tsh 2.2million
 
Koh koh koh koh koh. Kweli hiyo ni 1+7
Kila la kheri mkuu
 
Hizo simu ni unatembea na paso mfukon...hatar iphone zikasome
 
OnePlus & Honor ni simu kali sana! Siku nanunua Honor View20 niliumia sana kutokana na bei zao lakini baada ya kutumia kwa saa chache tu, maumivu yangu yote yakaisha hapo hapo!! Hapa ndipo nilipokuja kujua kwamba kumbe Mchina sio mtu mzuri! Hiyo OnePlus na yenyewe naitamani sana, sema dah, Android + Android ndo inakuaje kwa mfano?!
 
Mkuu nitoe tongotongo kwani hiyo honor inatumia os gani mkuu na vipi ubora wake
 
Inatumia Android 9.0 pamoja na Magic UI (kwa sasa version 2.0.1). Binafsi nilivutiwa na specs zake, ambazo ni powerful camera, battery, disk space kubwa (256GB) na RAM 8GB. Ni simu mzuri sana kwa gamers. Ukitaka kuifahamu vizuri, icheki hapa: https://www.hihonor.com/global/products/smartphone/honorview20/
Mkuu iko poa sana aisee yaani safi kabisa kweli naamini kwangu mimi kumiliki simu na saa nzuri ni sehemu ya maisha inaendaje mkuu hiyo
 
Kwa Bongo sina uhakika kama ipo, inapatikana pande zipi! Bei yake kwa Dubai (store ambayo ni wakala wa Honor) ni pesa ya Kibongo 1.5M.
 
WATU tumekazana na iphone tu...shida ya hizo honor na hao kina one plus ni simu nzuri ila unapoitumia ukaichoka lazima uiuze na hapo ndio shda inapoanzia..Hupati wa kumuuzia maana mpk wakuelewe sio leo.

Rahisi sana mshikisha mtu li iphone au samsung Copy na akaamini ni OG ila hao honor na wenzake Jina tu mtu anaona anaibiwa.

Napenda kununua kitu chochote hata kiwe cha bei gani ila kabla ya kununua huwa najiuliza siku nikikichoka ntakiuza au ntagawa,kama jibu ni kugawa Basi nanunua hata hzo one plus ila kama jibu nataka kuuza nikichoka Sina jinsi nabaki zangu kwenye iphone na kina samsung TU
 
Acha njaa
 
Live mazeee kitu imesimama ila mimi Xiaomi wananimaliza Sana sema sijawahi pata pesa nikanunue flagship Yao nahisi nitainjoy
 
Back
Top Bottom