GiftedMan94
Senior Member
- Dec 28, 2017
- 114
- 359
Mkuu nitoe tongotongo kwani hiyo honor inatumia os gani mkuu na vipi ubora wakeOnePlus & Honor ni simu kali sana! Siku nanunua Honor View20 niliumia sana kutokana na bei zao lakini baada ya kutumia kwa saa chache tu, maumivu yangu yote yakaisha hapo hapo!! Hapa ndipo nilipokuja kujua kwamba kumbe Mchina sio mtu mzuri! Hiyo OnePlus na yenyewe naitamani sana, sema dah, Android + Android ndo inakuaje kwa mfano?!
Inatumia Android 9.0 pamoja na Magic UI (kwa sasa version 2.0.1). Binafsi nilivutiwa na specs zake, ambazo ni powerful camera, battery, disk space kubwa (256GB) na RAM 8GB. Ni simu mzuri sana kwa gamers. Ukitaka kuifahamu vizuri, icheki hapa: https://www.hihonor.com/global/products/smartphone/honorview20/Mkuu nitoe tongotongo kwani hiyo honor inatumia os gani mkuu na vipi ubora wake
Mkuu iko poa sana aisee yaani safi kabisa kweli naamini kwangu mimi kumiliki simu na saa nzuri ni sehemu ya maisha inaendaje mkuu hiyoInatumia Android 9.0 pamoja na Magic UI (kwa sasa version 2.0.1). Binafsi nilivutiwa na specs zake, ambazo ni powerful camera, battery, disk space kubwa (256GB) na RAM 8GB. Ni simu mzuri sana kwa gamers. Ukitaka kuifahamu vizuri, icheki hapa: https://www.hihonor.com/global/products/smartphone/honorview20/
Kwa Bongo sina uhakika kama ipo, inapatikana pande zipi! Bei yake kwa Dubai (store ambayo ni wakala wa Honor) ni pesa ya Kibongo 1.5M.Mkuu iko poa sana aisee yaani safi kabisa kweli naamini kwangu mimi kumiliki simu na saa nzuri ni sehemu ya maisha inaendaje mkuu hiyo
WATU tumekazana na iphone tu...shida ya hizo honor na hao kina one plus ni simu nzuri ila unapoitumia ukaichoka lazima uiuze na hapo ndio shda inapoanzia..Hupati wa kumuuzia maana mpk wakuelewe sio leo.
Rahisi sana mshikisha mtu li iphone au samsung Copy na akaamini ni OG ila hao honor na wenzake Jina tu mtu anaona anaibiwa.
Napenda kununua kitu chochote hata kiwe cha bei gani ila kabla ya kununua huwa najiuliza siku nikikichoka ntakiuza au ntagawa,kama jibu ni kugawa Basi nanunua hata hzo one plus ila kama jibu nataka kuuza nikichoka Sina jinsi nabaki zangu kwenye iphone na kina samsung TU
njaa ikiiisha tu hutoona na comment namna hiii so saivi niache na njaa zanguAcha njaa
Live mazeee kitu imesimama ila mimi Xiaomi wananimaliza Sana sema sijawahi pata pesa nikanunue flagship Yao nahisi nitainjoyWATU tumekazana na iphone tu...shida ya hizo honor na hao kina one plus ni simu nzuri ila unapoitumia ukaichoka lazima uiuze na hapo ndio shda inapoanzia..Hupati wa kumuuzia maana mpk wakuelewe sio leo.
Rahisi sana mshikisha mtu li iphone au samsung Copy na akaamini ni OG ila hao honor na wenzake Jina tu mtu anaona anaibiwa.
Napenda kununua kitu chochote hata kiwe cha bei gani ila kabla ya kununua huwa najiuliza siku nikikichoka ntakiuza au ntagawa,kama jibu ni kugawa Basi nanunua hata hzo one plus ila kama jibu nataka kuuza nikichoka Sina jinsi nabaki zangu kwenye iphone na kina samsung TU
humo mote ni burudani una feel kua na wewe unatumia simuLive mazeee kitu imesimama ila mimi Xiaomi wananimaliza Sana sema sijawahi pata pesa nikanunue flagship Yao nahisi nitainjoy
Live mkuu mkuu niko redmi 7apa kiukweli nainjoyhumo mote ni burudani una feel kua na wewe unatumia simu
Tuzidi kujifariji mkuu ila kuna simu ukiwa nayo unafeel happy kitu smooth kabisa features kibao na uimara tenaSim za kijinga hivi huwezi nunua hata kwa 2k
Nisaidie pia kujua NFC nini maana nimeona kwenye spec zakehumo mote ni burudani una feel kua na wewe unatumia simu