Ukiwa na device zote mbili zinazo support NFC,
1.unaswitch on NFC kwenye both devices
2.unagusanisha kwa kuangalizana screen Yan uso kwa uso yenyewe ita establish connection automatically ufanyaji kazi nikama ule wa Bluetooth Sema hii Ina connect automatically ukiisha switch NFC on na kuweka simu uso kwa uso..
3.ikiwa prepared itakwambia uachanishe(separate) ili process ya transfer itaanza
Tofauti za kuswitch NFC zimetofaitiana katika simu ambazo zinatumia
1.marshmallow
2.lolipop
3.kitkat/jellybean
Speed ya data transfer kwa NFC ni ndogo zaidi kuliko ya Bluetooth but speed huongezwa Kadri technology inavyokuwa..
NFC speed ni takribani 424Kbit/sec wakati Bluetooth ikiwa ni 2.1Mbit/sec
Tofauti yake na Bluetooth ni kwamba haihitaji manual configuration ya kuscan device na kufanya pairing na kuingiza security code..
Tofauti yake nyingine ni kwamba inatumia umeme kidogo (it consume less battery drain) kuliko Bluetooth hivyo ni nzuri hata Kama chaji imebaki asilimia chache na unajambo la muhimu kwa wakati huo kuhamisha kutoka kwa simu yako nyingine au ya rafiki/jamaa yako...
Simu zinazo support NFC
-sumsang baadhi
Hapa kwenye sumsang ita hitaji both s beam na android beam ziwe on.
-HTC baadhi
-Huawei baadhi
-list goes on....