INAUZWA Pata SSD aina zote na RAM kuanzia 69,000. SSD na RAM zetu ni Mpya kabisa

Complex

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
4,119
Reaction score
4,779
Habari zenu wadau.

Habari njema kwenu nyote wana teknolojia, Karibu ozone ujiptie SSD, RAM na Vioo vya laptop kwa bei rahisi na nafuu. SSD, RAM na Vioo vyetu ni vipya kabisa kwa maana ya kwamba wewe ndiwe utakuwa mtumiaji wa kwanza. Pia kukuhakikishia ubora wa bidhaa zetu, Kwa SSD tunakupa warranty ya kuanzia miaka miwili na kuendelea. Tuna SSD aina (teknolojia) zote. Tunapatikana Machinga Complex, ghorofa ya pili ofisi namba 58, 59, 60.

SSD ina kasi mpaka kufikia mara 10 zaidi ya Hard disk za kawaida. Ukibadili Harddisk, na kuweka SSD, itaifanya kompyuta yako iongezeke kasi na kupelekea wewe kuifurahia.

Mawasiliano : 07148949798, 0753555055. (Whatsapp, Voice calls na normal texts)

Angalia sampuli za SSD tulizonazo na bei zake katika vipeperushi nilivyoambatanisha katika uzi huu

Karibu tukuhudumie kwa uaminifu mkubwa na ubora mkubwa.

 
Bidhaa zetu ni mpya kabisa.

 
mnatengeneza laptop mm yangu shida yake ni switch na pale inapopita ule waya wa charge.
 
Nahitaji RAM GB4 DDR3 Ni bei gani?
 
Nahitaji RAM GB4 DDR3 Ni bei gani?
Ram ya kifaa gani, Laptop ama Desktop.?

DDR 3 4GB hatuna kwa sasa bali tuna DDR 3 - 8GB. Nayo inaenda kwa Tsh 49,000 Tsh. Ni mpya kabisa. wewe utakuwa ndiyo wa kwanza kutumia.

Kwa swala la bei kwa bidhaa nyingine, tafadhali pitia post ya kwanza nimeambatanisha picha za bei na sifa ya kifaa husika.

Karibu tukuhudumie.
 

Attachments

  • RAM 4.jpeg
    61.9 KB · Views: 21
  • RAM 5.jpeg
    69 KB · Views: 20
  • RAM 7.jpeg
    70.3 KB · Views: 19
SSD zenye ukubwa wa 2TB mnauzaje boss?

Habari boss, kwa sasa hatuna ya 2TB tunazo za 256 GB na 512 GB kama zinavyoonekana katika vipeperushi.

Karibu tukuhudumie.
 
Mzee angalia inbox yako
 
Mzee nahitaj ram gb 8 ya pc bei gani? au zimeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…