Pata suluhisho kwa matatizo yako ya kiafya

Pata suluhisho kwa matatizo yako ya kiafya

Joined
Aug 1, 2014
Posts
36
Reaction score
2
Salama ndugu zangu,leo nawaletea habari nzuri inayohusu afya zetu sisi sote. Ni kwa kipindi kirefu nimeona watu waki-post matatizo yao huku bila kupata suluhisho la matatizo yao. Lakini leo nawahakikishia kuwa nipo nawe bega kwa bega kuhakikisha kuwa una pata suluhisho la tatizo lako. Lakini nachowasihi ndugu zangu watanzania tuache tabia ya kujaribu , badala yake tufanye vitendo."DOING WHAT OTHERS SAY,CAN'T BE DONE". So,hutakiwi kuangalia wanasema nini. But jiangalie ww mwenyewe unateseka kiasi gani na hilo tatizo lako. "The impossible is possible". Bidii yako na imani yako ndiyo itakayo kufanya ufikie matarajio yako. So leo naitambulisha kwenu dawa zinazotengenezwa na kampuni inayoitwa Forever living, ambayo yenyewe hutengeneza bidhaa zake kwa Aloe Vera pure. Ni bidhaa ambazo hutumika kutibu magonjwa mengi na matatizo tofauti yanayohusiana na afya ya mwanadamu.. Hakika weka akilini kuwa kama unasumbuliwa na ugonjwa kwa muda mrefu basi juwa umepata mkombozi..
Sifa yake kubwa ni kuondoa sumu za mwilini(detoxification).
Haya chini ni baadhi ya matatizo ya afya yanayotibiwa na bidhaa hizi za Aloe Vera.
>Kisukari aina zote.
>Presha aina zote.
>Kansa aina zote.
>TB aina zote.
>Vimbe za ndani na nje ya mwili.
>Kupunguza unene bila kufanya mazoezi.
>Matende.
>Ukurutu.
>Manyama yanayoota sehemu za siri.
>Mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa.
>Uvimbe sehemu ya haja kubwa.
>Goita.
>Vidonda vya tumbo.
>Malaria Sugu.
>Mwasho.
>Kuongeza CD4(Kinga mwilini,HIV/AIDS).
>Mkanda wa jeshi.
>Matatizo ya macho.
>Matatizo ya Masikio.
>Matatizo ya ngozi.
>Kifafa.
>Matatizo ya ini.
>Matatizo ya figo.
>Kupungukiwa na damu(sickle cell).
>Kupararaizi(kupooza).
>Matatizo ya miguu.
>Msongo wa mawazo.
>Wanaotaka kuzaa,ugumba,utasa.
>Moyo kuripuka.
>Kansa ya njia ya mkojo.(Projestate).
>Kupungukiwa nguvu za kiume.
>Matatizo ya mapafu.
NA MENGINE MENGI,
(UKICHUKUA DOZI GUARANTEE SIKU 30)
Kwa mawasiliano zaidi :
Sms/Call:- 255657830098.
Email: shelbytheseeker98@gmail.com.

THANKS.
 
Hizi dawa ni nzuri ila haziwanufaishi watu wenye kipato duni
 
Mi najuta na dawa zenu,nilitumia ile ya meno cha ajabu meno yangu yanakufa ganzi na siwezi kula vitu vichachu kama machungwa na nanasi.Mnatuumiza jamani.
 
Kwani ni watu gani hao mkuu?

Wanaitwa Forever Living kama alivyojinadi hapo juu huyo mwakilishi wao,kuna wakati tena nikatumia dawa yao nyingine inaitwa ARGI+ yani ina sifa lukuki lakini cha ajabu toka naanza kutumia mpaka namaliza sijaona tofauti yeyote ile.Wameniboa sana hawa jamaa.
 
Wanaitwa Forever Living kama alivyojinadi hapo juu huyo mwakilishi wao,kuna wakati tena nikatumia dawa yao nyingine inaitwa ARGI yani ina sifa lukuki lakini cha ajabu toka naanza kutumia mpaka namaliza sijaona tofauti yeyote ile.Wameniboa sana hawa jamaa.

Kweli ndugu ulitumia hyo dawa,usiwakatishe tamaa wanaotaka mafanikio. Je wanaopona wao ni mawe? Ni kitu cha kuweka akilini tu,labda inaweza kuwa hukufuata maelekezo juu ya matumizi ya dawa hiyo. Then wabongo huwa tuna tabia ya ku-test kitu. So nawaakikishieni kuwa mimi kama muwakilishi na shuhuda wa Forever living kuwa dawa hizi ni za uhakika kabisa,tena si Tanzania tu ila ni dunia nzima.
 
Je tatizo la uzazi nitumie dawa gani

Ndugu nakushauri utumie..FOREVER MULTI-MACA.

Historia yake fupi

Inatokana na mmea uitwao maca, au Lepidium Meyenii kutoka nchi ya Peru wenye historia ya miaka zaidi ya 2000 kwa kuongeza stamina ya mwili. Haina madhara na ina faida kubwa sana kwa wanaume na wanawake. Wanawake wa Peru wanatumia maca kuanzia wakiwa na umri wa miaka 3 ili wawe na nguvu, hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa kuzaa. Ina protein nyingi katika mfumo wa amino acids na virutubisho muhimu vinavyosaidia kazi ya kuamsha ishara za hamu ya tendo la ndoa.
 
Mi najuta na dawa zenu,nilitumia ile ya meno cha ajabu meno yangu yanakufa ganzi na siwezi kula vitu vichachu kama machungwa na nanasi.Mnatuumiza jamani.

Pole sana kwa matatizo yaliyokukuta,pia ningependa kufahamu kwamba kabla ya kutumia Dawa hizo za meno kutoka Forever Living,
1.je ni dawa ipi uliyokuwa unatumia kabla?
2.Ni matatizo gani uliyokuwa nayo hapo nyuma kabla hujatumia bidhaa hiyo ya Forever. Mpaka yakakufanya utumie dawa hiyo?.
3. Ulitumia bidhaa hiyo ya Forever kwa muda gani?

THANKS NDUGU..
 
>>>FOREVER BRIGHT TOOTHGEL<<<
028_large.jpg


-Hii ni dawa ya meno kutoka Forever living products. Ni bidhaa ambayo haina fluoride na ina mchanganyiko wa Aloe Vera gel na Bee propolis kwa asilimia 100%..
Ni bidhaa ambayo imetengenezwa na vitu halisi kama ALOE VERA NA BEE PROPOLIS.
product_aloe_vera.jpg


Granulated-bee-pollen.jpg


Kwa kifupi ningependa kuwaelezea juu ya BEE PROPOLIS.
>Mbali na asali pia nyuki hutengeneza compound iitwayo Bee propolis. Miaka 1000 iliyopita watu wa zamani waliitumia hii bidhaa inayozalishwa na nyuki kwa matumizi yao ya kiafya.
...Wagiriki(Greek): Waliitumia kutibu majipu.
...Assyrian: waliitumia kupaka kwenye vidonda na vimbe ili kutibu vimbe na kuponyesha vidonda.
...Egyptian: waliitumia kupaka kwenye miili iliyokufa(embalm mummies) ili kuiandaa kuizika,kama taratibu zao.

-Ndugu msomaji nahisi utakuwa umepata kitu juu ya compound hiyo iliyopo kwenye Forever Bright Toothgel. Pia utakuwa umepata kujua kazi na faida ya compound hiyo mwilini.

Kwa ujumla Forever Bright Toothgel ina kazi zifuatazo:-
1./Kupambana na bacteria kwenye mfumo wote wa uyeyushaji wa chakula(Digestive system) kuanzia mdomoni.
2. Huondoa harufu mdomoni.
3. Kutibu vidonda vya mfumo wa uyeyushaji wa chakula( Digestive system) kuanzia mdomoni.

>Maalumu kwa wale wenye mashaka na dawa hii.<

THANKS
 
:coffee:mbona hauko specific wewe??? Tuwekee bei ya hizo bidhaa na specification zake tujue ili tuweze kulinganisha na kipato cha mtanzania kama kinafaa kununua hizo bidhaa... unatangaza tu sifa za bidhaa lakini bei huweki ndo nini sasa??:coffee:
 
Back
Top Bottom