KANYEGELO
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,238
- 4,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei?Suti_mikoani ni wauzaji wa suti za kiume Kwa ajili ya sherehe za harusi, ofisini, vikao na matukio maalumu.
Tunatuma mikoani kwa uhakika na haraka zaidi na wateja wetu wa Dar es Salaam tunafanya free delivery...
Mkuu kati ya Marshalino na Fernando ipi ni nzuri ...nataka nije ss kabla sijagika nataka nijue kati ya izo brand 2Anza mwaka 2023 na SUTI MIKOANI
Suti mikoani ni wauzaji wa suti za kiume aina zote Kwa bei mseleleko. Tuna aina zote za suti kuanzia suti za harusi, ofisini na kwenye matukio maalumu.
Bei ya suti ni;
Tsh.120,000/= (Kaunda suit)
Tsh.150,000/= (plain suit &six button suits )
Tsh.180,000/=(fashion suit)
Call/SMS/ WhatsApp: 0712878245.
Tucheki kupitia WhatsApp au piga simu au tuma sms Kwa namba hapo juu kuwasiliana na sisi Moja Kwa Moja.
Tunapatikana kariakoo congo na Muhonda Street Dar es salaam. Ukifika msimbazi B kituo Cha mwendokasi nipigie simu nitakufuata nakupeleka mpaka dukani kwetu.
Tunafanya Free delivery Kwa wateja wa Dar es salaam. Mikoani tunatuma Kwa bus au ndege Kwa haraka na uhakika zaidi.
Baada ya kulipa ada na watoto kwenda shule ni muda wa kupendeza wazee wa kazi.
NB: Picha utakazotazama ni chache kati ya nyingi zilizopo, nicheki WhatsApp Kwa picha zaidi Ili uweze kuchagua suti unayopenda. #0712878245
View attachment 2475696View attachment 2475702View attachment 2475701View attachment 2475703View attachment 2475704View attachment 2475705View attachment 2475706View attachment 2475707
Na mi nakazia hapo unakuwa kama kada wa chadema.Zipo haina nyingi au maana me sio mpenzi wa mifuko fuko mingi