Pata tiba, kinga na ushauri.

Pata tiba, kinga na ushauri.

amon jason

Senior Member
Joined
May 13, 2013
Posts
125
Reaction score
4
pata tiba, kinga NA ushauri juu ya afya yako. .

epuka kutumia kemikali ambazo huweza kuunguza baadhi ya viungo mwilini NA hata kukusanya sumu mwilini NA kusababisha magonjwa MENGINE.

0713507487
0767507487
0782898210
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1372184786418.jpg
    uploadfromtaptalk1372184786418.jpg
    32.1 KB · Views: 61
  • uploadfromtaptalk1372184806981.jpg
    uploadfromtaptalk1372184806981.jpg
    6.8 KB · Views: 189
  • uploadfromtaptalk1372184830825.jpg
    uploadfromtaptalk1372184830825.jpg
    3.5 KB · Views: 193
pata tiba, kinga NA ushauri juu ya afya yako. .

epuka kutumia kemikali ambazo huweza kuunguza baadhi ya viungo mwilini NA hata kukusanya sumu mwilini NA kusababisha magonjwa MENGINE.

0713507487
0767507487
0782898210

mkuu hizo ni tiba za magonjwa gani?zinatengenezwaje bila kemikali?nasubiri jibu lako ndugu
 
mkuu hizo ni tiba za magonjwa gani?zinatengenezwaje bila kemikali?nasubiri jibu lako ndugu

Unadhani hata anajua maana ya hiyo kemikali basi!
But,funny enough,atapata wateja.
Bongo bwana,kila mtu msanii..
 
1. Wewe ni nani?
2. Uko wapi?
3. Unatibu na kukinga magonjwa yapi?
4. Una dawa za aina gani?.
NB.TUAMBIE Wewe kama ni tapeli na kwann hukutoa maelezo yanayojitosheleza?
 
vifaa na bidhaa zilizopo hapo kwenye picha ni kemikali tupu, labda kama kuna def kinyume chake......kamari kwenye afya...
 
Back
Top Bottom