Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

Nimeipenda hii.
Watu huogopa na kukimbia changamoto,hivi kuna biashara isiyo na chanagamoto kweli??
Wengi neno inalipa imewaingiza chaka nakubaliana na hii swala 100%.
 
Hajatisha mtu,nilicho elewa ameeleza ukweli na undani mzima wa biashara ambapo watu wengine hawaelewi au hawajui.
Tunatofautiana uelewa dada! Unajua nini ...
Unamkuta mtu anamwambia mwenzake maneno kama .."Wewe chunga sana maisha sio mchezo" ... wakati hata anayeambiwa naye anaishi ... hivyo tunaviita vitisho .. tutiane moyo jamani.
 
Hata hiyo uliytolea mfano huwa inasemwa kuendana na hali ya muhusika anae ambiwa.
Wabongo tunapenda wepesi,hatupenfi kuambiwa ukweli kwa jambo lililopo mbele yetu.

Hata mtu akikuambia chunga sana Haya maisha,jitafakari.
Na sio kudemand kutiwa moyo.
 
Dada leo vipi? Nisamehe basi rafiki.... tuendelee na mada jamani ...
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia waitaliano wanapenda sana, kama hutojali nipe mfano wako

Sent using Jamii Forums mobile app
kaka haya maneno yana ukweli mkubwa sana pamoja na wahispania.Ila kikubwa tambua kila biashara zina changamoto then hakuna mtu anafanya kitu bila kuwa malengo na pia market.Pili fanya utafiti na ufanye SWOT analyis then ingia kwenye game
 
@Sethashalom ...mkuu nimekuelewa lakini ningeomba hata jina ya hizo antibiotics, obvious nikieenda kwenye duka la dawa za binadamu nikisema tu antibiotics (pink and black) itakua sieleweki.. More details + help please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimekuelewa vizuri kabisa sema hawa bata kinacho wauwa ni ungonjwa wa kupinduka pinduka(kipindupindu) kuna mtu aliniiambia kua ni degedege yani hata sijui lakini nitafanyia kazi haya ulio yasema.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu nimekuelewa lakini ningeomba hata jina ya hizo antibiotics, obvious nikieenda kwenye duka la dawa za binadamu nikisema tu antibiotics (pink and black) itakua sieleweki.. More details + help please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepoa kaka Kwa kweli pale hamna panya ila sijui walikua wana pinduka pinduka..kipindupindu ndo wamekuta hvo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…