Pata vifaranga vya kuku chotara bei nafuu

Pata vifaranga vya kuku chotara bei nafuu

HKB

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
48
Reaction score
2
Umri wa siku 1-3 kwa 1400 tu.
Mawasiliano 0717221590
 
Pata vifaranga chotara vyenye siku 1-3 kwa bei nzur ya 1400 maelewano yapo kutegemea na idadi unayochukua.
Simu: 0717221590
 
ingekuwa bor kama ungekuwa umefafanua ni wa chotara wapi???
 
poa, ila kingine ugeweka picha nayo ingesaidia
 
Kaka ndio maana nkaweka namba ya simu.
Tumia hyo namba na hata kuja kuona itapendeza

poa ila sio kila mtu anaweza kuja kuwaona, yalikuwa ni maoni tu kama unauza wengine hupenda kuona picha ya kitu wanachotarajia kununua ndo wafanye maamuzi
 
Pata vifaranga chotara vyenye siku 1-3 kwa bei nzur ya 1400 maelewano yapo kutegemea na idadi unayochukua.
Simu: 0717221590

Mkuu upo mkoa gan? Nataka mwez sep mzigo wa vifaranga 200.
 
Vinapatika jumapili hii tarehe 26 july.
Bei 1400 kwa kila kimoja weka order 0717221590
 
weka sawa tangazo lako,unapatikana wapi?

TO2004; napatikana DSM mkuu. Ila kwa maongezi zaidi tumia namba hapo iwe rahisi kujadili kwa kirefu na kuokoa muda pia.
 
Back
Top Bottom