Kiwanja kiko njia ya kwenda msata katika sehemu wanaita Makurunge.Unafika Kiwangwa kwenye minara minne kilimani pale? Je eneo lipo karibu na eneo la benno ndulu? Kama Fukayosi ni PM namba zako nitafute fogo wa A-town mchonge nae!
Kiwanja kiko njia ya kwenda msata katika sehemu wanaita Makurunge.
unahitaji au una mtu anahitaji?Ni lile Bwawa ambalo liko mkono wa kushoto kama unakwenda Msata?
unahitaji au una mtu anahitaji?
Mkuu maelezo ya ziada onesha nia!Hujajibu swali langu mkuu?
Mkuu maelezo ya ziada onesha nia!
Mkuu bisiness is an art..................!Mbona mfanyabiashara mkali huyu? Malila umebumbulua EPA nini?
Mkuu bisiness is an art..................!
Mbona mfanyabiashara mkali huyu? Malila umebumbulua EPA nini?
kwahiyo unatangaza nia mkuu!Labda nimebumbulua, mitaa ile huwa napita sana kwenda Madesa, na Bwawa huwa naliona.
Labda nimebumbulua, mitaa ile huwa napita sana kwenda Madesa, na Bwawa huwa naliona.
kwahiyo unatangaza nia mkuu!
Sifa za kiwanja ni kama ifuatavyo ..
Tafadhali kama unahitaji ni-PM kwa maelezo ya ziada na appointments.
- Shamba lina bwawa la samaki lenye ukubwa wa 1 hecta na lina samaki.
- Lina mbuzi 40, kondoo 50, Bata mzinga 70 na Bata wa kawaida 100.
Bosi kila taarifa zina mipaka kwasababu zilizo wazi na nizisizo wazi, unania mkuu onyesha nawe utahudumiwa kwa taarifa yoyote uitakayo! relevant information tayari umepewa, more details tafadhali go further!Kizazi hiki kinaamini kwamba "information is power" na hakuna biashara ambayo taarifa haziko wazi itakayofanyika, weka taarifa za kutosha kabisa peupe, haya mambo ya kwenda pm yanahatari sana.
Huwezi kupata mnunuzi bora kwa tangazo lenye mapungufu,hata week haijapita bei imeporoka kwa kasi !!!!!!