Pata viwanja maeneo Kiwangwa Bagamoyo kwa Tshs millions 450 kwa heka 90

Notifier

Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
91
Reaction score
12
Sifa za kiwanja ni kama ifuatavyo…..

  1. Shamba lina bwawa la samaki lenye ukubwa wa 1 hecta na lina samaki.
  2. Lina mbuzi 40, kondoo 50, Bata mzinga 70 na Bata wa kawaida 100.
Tafadhali kama unahitaji ni-PM kwa maelezo ya ziada na appointments.
 
Unafika Kiwangwa kwenye minara minne kilimani pale? Je eneo lipo karibu na eneo la benno ndulu? Kama Fukayosi ni PM namba zako nitafute fogo wa A-town mchonge nae!
 
Unafika Kiwangwa kwenye minara minne kilimani pale? Je eneo lipo karibu na eneo la benno ndulu? Kama Fukayosi ni PM namba zako nitafute fogo wa A-town mchonge nae!
Kiwanja kiko njia ya kwenda msata katika sehemu wanaita Makurunge.
 
Bei imepungua sasa wakuu hadi millions 350, karibuni.......................
 
Mkuu bisiness is an art..................!

Hata mie naona, Endelea kushikilia hiyo Art yako uone, watu wanataka maelezo yakueleweka ww unazungusha, subiri ubembelezwe
 
Labda nimebumbulua, mitaa ile huwa napita sana kwenda Madesa, na Bwawa huwa naliona.

Hahahahaha ndio uzuri wa JF hakuna ujanja ujanja safi kaka unatusaidia na akina siye
 
kwahiyo unatangaza nia mkuu!

Kizazi hiki kinaamini kwamba "information is power" na hakuna biashara ambayo taarifa haziko wazi itakayofanyika, weka taarifa za kutosha kabisa peupe, haya mambo ya kwenda pm yanahatari sana.

Huwezi kupata mnunuzi bora kwa tangazo lenye mapungufu,hata week haijapita bei imeporoka kwa kasi !!!!!!
 
Sifa za kiwanja ni kama ifuatavyo…..

  1. Shamba lina bwawa la samaki lenye ukubwa wa 1 hecta na lina samaki.
  2. Lina mbuzi 40, kondoo 50, Bata mzinga 70 na Bata wa kawaida 100.
Tafadhali kama unahitaji ni-PM kwa maelezo ya ziada na appointments.

Vipi shamba halina nyumba mkuu, je limepimwa? Wewe ndio mmiliki au dalali, lile bwawa liko kando ya shamba au lipo ktkt ya shamba? Je lile bwawa linatumiwa na nani wengine?

Fafanua hayo maswali tafadhali.
 
Bosi kila taarifa zina mipaka kwasababu zilizo wazi na nizisizo wazi, unania mkuu onyesha nawe utahudumiwa kwa taarifa yoyote uitakayo! relevant information tayari umepewa, more details tafadhali go further!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…