pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #21
Hapana ni lazima upate detail za form ndizo zitatumika kuprocess hati yakoKuchukua fomu pesa means kupata kiwanja ni probability
Hapana ni lazima upate detail za form ndizo zitatumika kuprocess hati yakoKuchukua fomu pesa means kupata kiwanja ni probability
Kilo meta kumi ila ipo barabara ya vumbiumbali gani kutoka barabara kuu jee umeme maji na huduma nyingine za jamii zipo?
Pole kwa kuhisi unatapeliwa uliza kabla ya kuhukumuToo good to be true. Nanusa harufu ya kutapeliwa,
Pole kwa kuhisi unatapeliwa uliza kabla ya kuhukumu
Leo jmos ndo siku ya site huwa tunafanya kila jmos hao ndo walikuwa huko kuonyesha viwanja na kukabidhi mikataba ya wateja
Ukifanya upimaji wa jumla kama wa viwanja elfu kumi hii ndo faida yakeKwa kiwango chochote, hivyo viwanja vilivyopimwa mnauza bei ndogo sana. What is the catch?
Vipo Ruvu kibaha Bandari kavu ukishalipia form utapewa michoro na kuchagua viwanja then jmos tunaenda site kuonyeshwa na hatua za kisheria zitaanza ili kukabishianaViwanja vinauzwa ruvu sehemu gani? Je hiyo elfu kumi ukichukua unapata kiwanja au?
Ok, hapo umesomeka. Na utaratibu wa malipo ukoje? Unalipa ndo unaonyeshwa kiwanja au unaona kwanza? Hati inapatikana muda gani baada ya kulipa? Ni hati ya namna gani?Ukifanya upimaji wa jumla kama wa viwanja elfu kumi hii ndo faida yake
Viwanja viko maili ngapi kutoka barabara ya moroOfisi tunayo tupo Makumbusho complex floor ya pili hati ni ya serikalin sio ya kimila as viko suveryed mteja akishalipia ni jukumu letu kuprocess hati yake na kumkabidhi kama sehemu ya mikataba yetu
Viwanja vipo kijiji gani, kata gani na jimbo gani? How far kutoka zilipo hizo plot na ulipo mradi wa Dry pot?
Ni kweli karibu boss
Hi huduma Dodoma haijafika?!?Kichwa cha habari kinahusu sisi [URL="http://www.one2onefocus.com]www.one2onefocus[/URL] tunauza viwanja vya garama nafuu kwa mtanzania wa hali ya chini aweze kumiliki Arithi
Viwanja vipi Ruvu ya kibaha karibu kabisa na Bandari kavu
Viwanja vipo vya biashara na makazi
Garama ya viwanja vya biashara ni laki nane tu na garama ya viwanja vya makazi ni laki 5 tu
Ukubwa wa kiwanja ni 40*20
Viwanja vimepimwa sisi kama kampuni tunashughulika na swala la kuprocess hati na kukabidhi mteja
Kuweza kunufaika na hii fursa utapata kwa kuchukua form kwa garama ya shiling elfu kumi tu
Form zinapatikana katika matawi yetu yote ya Dar es salaam pale Makumbusho complex gorofa ya pili, Mwanza tupo Buzuruga Plaza floor ya pili
Na Arusha tunapatikana Namvua Plaza
Waweza kunichek WhatsApp kwa 0763772636 kwa Maelezo zaidi au kama utaendelea nikuadd kwenye group letu la WhatsApp la viwanja karibuni sana
Tangu 2017...itakuwa Singida inaitafuta Nzega. Mwakani Tinde, kulala Kahama. Wa Ushirombo...meli hiyooooooo!Hi huduma Dodoma haijafika?!?
Nipo katente hapa nimetia nanga, wacha niingoje.Tangu 2017...itakuwa Singida inaitafuta Nzega. Mwakani Tinde, kulala Kahama. Wa Ushirombo...meli hiyooooooo!