Pata viwanja vilivopimwa Ruvu kwa garama ya laki 5 tu

Too good to be true. Nanusa harufu ya kutapeliwa,
Pole kwa kuhisi unatapeliwa uliza kabla ya kuhukumu
Leo jmos ndo siku ya site huwa tunafanya kila jmos hao ndo walikuwa huko kuonyesha viwanja na kukabidhi mikataba ya wateja
 
Viwanja vinauzwa ruvu sehemu gani? Je hiyo elfu kumi ukichukua unapata kiwanja au?
 
Kwa kiwango chochote, hivyo viwanja vilivyopimwa mnauza bei ndogo sana. What is the catch?

Ukifanya upimaji wa jumla kama wa viwanja elfu kumi hii ndo faida yake
 
Viwanja vinauzwa ruvu sehemu gani? Je hiyo elfu kumi ukichukua unapata kiwanja au?
Vipo Ruvu kibaha Bandari kavu ukishalipia form utapewa michoro na kuchagua viwanja then jmos tunaenda site kuonyeshwa na hatua za kisheria zitaanza ili kukabishiana
 
Ukifanya upimaji wa jumla kama wa viwanja elfu kumi hii ndo faida yake
Ok, hapo umesomeka. Na utaratibu wa malipo ukoje? Unalipa ndo unaonyeshwa kiwanja au unaona kwanza? Hati inapatikana muda gani baada ya kulipa? Ni hati ya namna gani?
 
Habari njema hii. Umesema mna kampuni yenu. Je? Imesajiliwa? Kama ndiyo, naomba namba ya usajili nihakiki kwanza.
 
Mimi nataka shamba la kulima hekari kadhaa
 
Hi huduma Dodoma haijafika?!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…