Nimeingia huko naona tu PAY. Bei zimeandikwa ila haijulikani ni bei ya Mwezi, wiki, siku, mwaka, karne nk. Ingelikuwa vizuri mkaweka beo yenu vizuri hata zile basic. Kwa wale SAMAKI wakubwa, wao hawaulizi bei.....
Ngoja nifikilie kwanza nataka kufanya nini kwenye mtandao ndo nijiunge na nyie
By the way moderator wa JF naruhusiwa kuadvitise business kwenye mtandao wako ???😀
Tovutiyangu.com
Hayo macho basi na huo mnyonyo...happy JKN day
....tumeandika ghrama zozote unazoweza kukumbana nazo na mbona ipo wazi kuwa ili uwe na tovuti hatua tatu zinahitajika:
Tunakutengenezea tovuti yako BURE (number 2) na hii huwa ni gharama sana ukijaribu kupata huduma hii popote pale. Ila unatakiwa kuiendesha na kuiweka hewani website yako (hosting). Hivyo hosting ni kama Tsh 10,000/= tu kwa mwezi. Na tumeweka setup fee ya Tsh 49,000 itayotumika kwa gharama nyingine kama kukusajilia jina (number 1), na costs nyingine kama number 4.
- Domain Registration (usajili jina)
- Kuitengeneza Tovuti Yenyewe, (the designed pages)
- Kulipia ada za kuwa hewani (Hosting)
- Kuiupload website na kuhakikisha ipo sawia kila mara (Quality assurance, testing, uploading)
Na yote yapo clear kabisa.
now you are talking! mimi kidogo niache kusoma hii thread, maana mtu hawezi kuwa na kampuni ya kutoa tu huduma ya bure bureshi 100% kwa jamii, wakati huduma hiyo inacost zake, unless ni charity work
HOSTING PAYMENT PLANS FOR **NON-FREE WEBSITE**
All plans come with unlimited number of email addresses, unlimited number of databases and sub domains!!
CHUI PLAN, 200MB Disk space, 2GB file transfers rate,
DurationPrice in Tsh Discount/save6 Months 60,000/-0%1 Year 105,000/-13%
Order Now
NYATI PLAN, 500MB Disk space, 5GB file transfers rate.
DurationPrice in Tsh Discount/save6 Months 90,000/-0%1 Year 165,000/-9%
Order Now
TEMBO PLAN, 1GB Disk space, 5GB file transfers rate.
DurationPrice in Tsh Discount/save6 Months 120,000/-0%1 Year 220,000/-9%
Tuliumizwa sana na enzi za 'zidumu fikra za nanihii' nashukuru sana kuwa sasa WaTZ tunachanganua mambo. Safi sana.
Msisitizo wangu nauongeza katika kutenganisha 'usajili jina', 'hosting' na website designing. Na nimependa kila mtu ameona kwa namna yake, nasi tuliona kwa namna yetu. Ni wakati sasa kuchanganya maoni ya pande yote na kuweka mantiki. Hii ndio maana haswa ya kuthamini wanaokuzunguka.
Kwa kuwa bei ya kutengeneza tovuti ndio ishu, na haswa kwamba wengi hushindwa Tukaona tufanye bure. Hosting na domain registration hatujaweza kufanya bure, japo wataalamu hapa wanaamini zikiwa tovuti kama mia zote zinalipa hosting, kuna fursa kubwa sana kurudusha hosting chini kwa 50%. Tunapishana namna tunavyoona, huu ni upeo wetu wa kuona. Huwezi kushusha bei ukiwa na watu wanne, tunahitaji wengi ili tununue unlimited package kisha turudishe bei. Napenda michango yenu na nazidi kusubiri maoni zaidi, yaani km kuna mtu anajua tunapoweza kufanya nafuu zaidi asisite kuniambia. Pia anayewaka bei kali asiishie hapo, atupe mbadala. Na mwisho, kituko kwa wengi labda, ni kwamba km wewe ni website designer na upo tayari KUJITOLEA KUTENGENEZEA WATU WEBSITE BURE, karibu sana ktk project yetu. Pamoja tunaweza.