Patcho Mwamba 'ala vitasa' baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Ingetakiwa wamharibu systerm ya kutolea kinyesi mwanahizaya....hivo vingumi na kama wametekenya tu....tena inawezekana waliopiga ni masharobaro....mtu aliyefumaniwa anapigwaje makonzi kama kadokoa mboga.....at least wangemla kiboga na kumrekodi....pumbavu....hawa jamaaa wanapenda sana slope....muda wote wanajiremba kama mamiss wapo kambini.....hela atatafuta saa ngapi....??
 
Jamani acheni ushabiki. Hicho kipigo gani hakina hata kuvilia damu?? Ingieni INSTAGRAM muone picha tofauti alizopost baada ya kunywa citizen..
 
pia kuna mtu anaitwa doi moke ni rafiki mkubwa na huyu mtu na mwingine ben kinyaiya pia na steve nyerere ukiwa leaders club mke wako anaibwa pila wewe kujua

Ben kinyaiya punga sasa anaibaje wake za watu?au anawaiba wakamfanye scrub?
 
Hapa ilibidi mwanamke pia apewe kipondo na talaka kwani hili si kosa tu la Mwamba bali ni la wote, na huyo mwanamke anahusika sana.
 
Mnashadadiia!!Upigwe ivo usitoke damu?hamuoni kifuani ana kama ngozi ina upele fulani kama wa tango tango??Iyo ni allergy,waulizeni wenye allergy huwa unawashwa ngozi inakuwa kama ya kifuani mdomo unavimba sometimes sura inatutumuka kama umepata ajali!!MNAPENDAA MATUKIO!ROHO Zenuu kwatuuu!!Tena mibaba ndo inashobokeeea!!shame!
 
Hats patcho pia ni mwamba lakini anakata viuno
 

Hahahaa duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…