Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allergy hyoooo
Mke wa mtu mtamu eeeeh?
Hiyo allergy noma, hadi ikamvua shati..! Na ikachagua jicho moja. Duh!
Mke wa mtu mtamu eeeeh?
pia kuna mtu anaitwa doi moke ni rafiki mkubwa na huyu mtu na mwingine ben kinyaiya pia na steve nyerere ukiwa leaders club mke wako anaibwa pila wewe kujua
Duh tigo sijui kama imepona
View attachment 213925
Wa-Congo kwa miteremko acha tu
View attachment 213925
Wa-Congo kwa miteremko acha tu
Hahahaa we Viol mbona mwenyewe kasema ni allerge ya pombe akinywa tu anavimba hivyo
Mnashadadiia!!Upigwe ivo usitoke damu?hamuoni kifuani ana kama ngozi ina upele fulani kama wa tango tango??Iyo ni allergy,waulizeni wenye allergy huwa unawashwa ngozi inakuwa kama ya kifuani mdomo unavimba sometimes sura inatutumuka kama umepata ajali!!MNAPENDAA MATUKIO!ROHO Zenuu kwatuuu!!Tena mibaba ndo inashobokeeea!!shame!