Patcho Mwamba 'ala vitasa' baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Patcho Mwamba 'ala vitasa' baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Alafu tabia hii ya kuwafanyia hawa wahusika hivi siyo vizuri kimaadili ya kiafrika. Ila naona imeshika kasi kwa sasa.

Na wee ni m-congo nini aisee...?.
 
Alafu tabia hii ya kuwafanyia hawa wahusika hivi siyo vizuri kimaadili ya kiafrika. Ila naona imeshika kasi kwa sasa.

Ila kutembea na wake za watu ni maadili ya kiafrika,eeh
 
index.jpgBandugu, Patcho mefumaniwa juu ya nini???
 
Hahahaa we Viol mbona mwenyewe kasema ni allerge ya pombe akinywa tu anavimba hivyo

Allerge hii sijawah ona, kama alikuwa anajua akinywa anakuw hivi why kanywa? Bt hata jua yeye aisee
 
Last edited by a moderator:
kumbe ndo huyu..!!!

Marinda yashatapanywa. Pole yake.
 
Hata kwenye ile muvi ya Anko J.J ya Kanumba yupo kama mjomba wa Jenipher.

Nishampata, picha yake ipo clear kule jukwaa la mchanganyiko.

Hapa kachakazwa sana, na nafikiri alikua mitungi kabla ya kipondo.
 
Back
Top Bottom