Patcho Mwamba 'ala vitasa' baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Patcho Mwamba 'ala vitasa' baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

uzi wala siuelewi huuu

Wengine wanasema ni allergy

Wengine wanadai watu wamemla tigo huyu kijana

Sijui nishike lipi!
 
Ingetakiwa wamharibu systerm ya kutolea kinyesi mwanahizaya....hivo vingumi na kama wametekenya tu....tena inawezekana waliopiga ni masharobaro....mtu aliyefumaniwa anapigwaje makonzi kama kadokoa mboga.....at least wangemla kiboga na kumrekodi....pumbavu....hawa jamaaa wanapenda sana slope....muda wote wanajiremba kama mamiss wapo kambini.....hela atatafuta saa ngapi....??

Mkuu Mbona Mkali Hivi? au Na Wewe Wamesha KUGEGEDIA Shem Wetu? Sasa Kama Wewe Hujui KUTANDIKA Je Wakongo Akina Patchou Mwamba WASIKUTANDIKIE? Muda Mwingine Na Sisi Madume Ndiyo Huwa Chanzo Cha Mademu Zetu KUKANYAGWA na Masela! Mimi Nipo 50 / 50 ktk Hili.
 
Jamani acheni ushabiki. Hicho kipigo gani hakina hata kuvilia damu?? Ingieni INSTAGRAM muone picha tofauti alizopost baada ya kunywa citizen..

Acha Kutetea UPOPOMA Na Kwa Taarifa Yako Sasa Nimeenda Mbali Zaidi Na Hadi Kumuuliza Rafiki Yake Wa Karibu Sana Na Ambaye Ndiyo Huwaleta Hao Wakongo Hapa Bongo GOLIKIPA Wa Zamani Hapa Bongo Na Kanithibitishia Kuwa Ni Kweli Jamaa Alinyea KAMBI au Aliingia Choo Cha Kike Na Kipondo Amekipata Tena Cha Haja Tu Na Ndipo Wao Wakawahi Kumsaidia. Nina Mengi Zaidi Ya Haya ILA Kimaadili Sitayaweka Kwani Yanatia Aibu...ILA KUFANIWA Ni Kweli KAFUMANIWA Hivyo Wapambe Nuksi Acheni Kutetea UPOPOMA Na Isitoshe Wakongo Nawajua Kwa Kupenda MITEREMKO Ya Kitonga!
 
Mnashadadiia!!Upigwe ivo usitoke damu?hamuoni kifuani ana kama ngozi ina upele fulani kama wa tango tango??Iyo ni allergy,waulizeni wenye allergy huwa unawashwa ngozi inakuwa kama ya kifuani mdomo unavimba sometimes sura inatutumuka kama umepata ajali!!MNAPENDAA MATUKIO!ROHO Zenuu kwatuuu!!Tena mibaba ndo inashobokeeea!!shame!

Je Na Wewe Ni KIGEGEDIO Cha Mwamba Nini?
 
uzi wala siuelewi huuu

Wengine wanasema ni allergy

Wengine wanadai watu wamemla tigo huyu kijana

Sijui nishike lipi!

Wewe Tu Kwa Akili Yako Hivi Huwa Kuna Allergy Ya Ndomo Kuvimba, Reception a.k.a Nyago au Sura Kupoteza Uhalisia Wake Na Jicho Moja Ndiyo Lipate Allergy Na Lingine Lipete Tu? Basi Kama Allergy Hiyo Ipo Naomba Na Mimi Niipate! Mlivyo Baadhi Yenu au Mwamba Mwenyewe Hamjui Hata Kutunga au Kutengeneza Uwongo Aminifu........Mkuu Shika Kwamba Kafumaniwa Kwani Chanzo Changu Cha Taarifa Kina Pika Na Kupakua Na MFUMANIWAJI!
 
Unaambiwa usifanye jambo fulani
Ukaamua kukaidi
Sababu wewe ni imara zaidi
We ndo bora zaidi
Utapigwa tu
Nami nasema wapigwe maana hatuna namna nyingine .............. Mh Pinda!
 
nawasiwasi na jicho dogo kama wameacha bila kulifungua


avatar34146_3.gif
 
Hahaa eti kanywa bia..yaani allergy ya kuvimba macho sijawahi kusikia ngoja ni google

Hiyo ipo mkuu. Jana nimeona dada mmoja alivimba macho kwa allergy ya kutumia dawa ya nywele na hata mie binafsi imewahi kunitokea mwaka 1998
 
Mnakurupa mno
 

Attachments

  • 1419581149330.jpg
    1419581149330.jpg
    59.2 KB · Views: 696
Facts..
 

Attachments

  • 1419581444447.jpg
    1419581444447.jpg
    35.9 KB · Views: 585
Huyo mgoni ni mlevi wa mda mrefu, mbona hizo allergy hakuwahi kuzipata

Mkuu ndio nilikuwa natakua kupost bahati nzuri wazo langu ndio kama lako tu,jamaa ni mlevi wa kutupwa mapombe yote ya kila design kanywa iweje ije kumdhuru leo? Jamaa kafumaniwa na kaliwa kiboga full stop.
 
network ya tigo was full available
hata kama huna salio ilikuwa inaruhusu kuunganisha

hah hah
 
Back
Top Bottom