Patel sio Mtanzania, media za Tanzania acheni kupotosha umma

Hii habari mbona inajirudia kwa kasi mno.. na binafsi nilishaiona kitambo humu jf
 
"Wahindi ukoo huchukua kwa Mama, kwahiyo Patel ni Mtanzania". Unapozaliwa kwenye nchi husika unakua raia wa hiyo nchi, hauwezi kitoka humo bila pasipoti hata ungekua na umri wa sekunde moja.
Tusiokoteze na tusilazimishe sifa tusizo stahili.
 
Wabongo na waafrika sisi ni wanafiki sana, tunajua kucheza na neno mwenye asili.
Utasikia Mbappe mwenye asili ya Cameroon, mara Ngolo Kante mwenye asili ya Kenya, Patel mwenye asili ya Tanzania.

Mwenye asili wapi, wakati ashakuwa raia wa nchi nyingine. Tupambanie vya kwetu.
 
Ukiachilia kwa Poulsen wengine wote nimewasikia kwako hao "Watanganyika & wazanzibar"
Basi jamaa itabidi wizara ya mambo ya nje iwasiliane nae tuone namna gani tunafanya kusaidia kuimarisha usalama
 
Ushasema mama yake ni Mtanzania.
Ana damu yetu huyo, Tayari ni Mtanzania.
 
Yusuf yurary ni mtanzania hapa Tanga anakuja sana ,mwaka juzi kama sijakosea alikuja kumzika bibi yake ... Huyo ni mdigo kabisa anakuja sana Tangq ilq sio mtu wa media tangu akiwa mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…