pathology!!!

wale wanaosoma BSN popote hapa tanzania watujuze kwao subject content ziko vipi, Kama kunaiyo pathology au hakuna?
 
Asante kwa kunielimisha. Lakin ktk izo masters zote yopi ni nzuri zaidi?.

inategemeana na interest ya mtu binafsi,ni sawa na kuuliza kati ya pcb vs pcm,md vs pharmacy.

master ni master tu,mara nyingi ukioona mtu kachukua master ya kitu fulani either ameipenda au ameona kuna interest fulan.
 

mkuu ngoja nikueleweshe hii mambo ilivyo....course ya anatomy imegawanyika mara mbili...functional anatomy na systematic anatomy...wote wanaosoma afya wanaisoma hiyo functional anatomy ambayo ndani yake kuna module ya histology...histology inasomwa ilibaadae uje uweze kusoma pathology kwa sababu vinategemeana....systematic anatomy niya MDs na DDS tu hapa wao wanaingia cadever na kusoma anatomy in deep ...ndani ya hii module kuna embryology ambayo hamsomi...kama walivyosema wadau hapo juu...hizi ni core subjects katikati medical school i.e anatomy and pathology...sio kitu kimoja
 

anatomy ni somo la body structures and features katika hali ya kawaida yani bila magonjwa
functional anatomy ni kazi ya hizo structure mwilini
ukisha sema pathology mana yake kuwepo kwa abnormalities au magonjwa
 
Ndio kuna masters ya pathology tu, na hawa ndio wale ambao wanafanya kazi na technicians, na ndio ambao ukitoa kinyama(biopsy) wanakusomea na kukuambia ni cancer au sio
 
Kwaiyo lin twaweza pata joining instruction?

Joining instruction me nimeshachukua , ukipewa ile form kwenye tuition fee unagawa kwa nne then unajumlisha na cost zote zilizobaki baada ya hapo unatakiwa kulipa hizo fedha kabla ya 30th September then baada ya kulipa utapewa agreement form kusign ... Gharama zinazobaki utakuja ku calculate na kiwango cha boom utakachopata then pesa zinazobaki utamalizia ndani ya misimu mitatu iliyobaki ya ulipaji ... cha muhimu hakikisha umekamilisha hizo payments kabla ya October kuepuka usumbufu ....
 
anatomy ni somo la body structures and features katika hali ya kawaida yani bila magonjwa
functional anatomy ni kazi ya hizo structure mwilini
ukisha sema pathology mana yake kuwepo kwa abnormalities au magonjwa

Thanks that was helpful ...
 
kweli koz za afya hazitofautiani kati ya binadamu na wanyama kwenye vet tunasoma masomo yote hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…