- Thread starter
- #21
Kwaiyo lin twaweza pata joining instruction?sawa mkuu nimeiona hiyo sehemu kweli nyie wa nursing hamna pathology sijui ni kwa nini..! Naona semester ya kwanza tutashirikiana kwenye anatomy na biostatistic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo lin twaweza pata joining instruction?sawa mkuu nimeiona hiyo sehemu kweli nyie wa nursing hamna pathology sijui ni kwa nini..! Naona semester ya kwanza tutashirikiana kwenye anatomy na biostatistic
Asante kwa kunielimisha. Lakin ktk izo masters zote yopi ni nzuri zaidi?.
Samahani Kidole hivi Functional Anatomy ndio sawa na Pathology maana inanichanganya kidogo nilikua nimeona course content yenye functional anatomy and histology , wakati natafuta notes zake nikakuta kama functional Anatomy na anatomy ni tofauti hivi kwamba functional anatomy ndio sawa na Pathology.... Msaada pls

Kwaiyo lin twaweza pata joining instruction?
anatomy ni somo la body structures and features katika hali ya kawaida yani bila magonjwa
functional anatomy ni kazi ya hizo structure mwilini
ukisha sema pathology mana yake kuwepo kwa abnormalities au magonjwa