Nimeona kwenye video mwanamke anaye toa vitu kwenye sanduku anachukua chupi na kuvua yake kisha ana vaa mpya.nia ya kitchen pati ni kumoatia vifaa vya ndani na vyombo binti, pamoja na mafunzo jinsi ya kuishi kwenye hyumba/ndoa (marunzo hutolewa kwa lugha ya staha) sasa kama watu wanaitumia vingine mmmmmh
Nimeona kwenye video mwanamke anaye toa vitu kwenye sanduku anachukua chupi na kuvua yake kisha ana vaa mpya.
Je huyo mwanamke mwenye pati alikuwa hajui ku vaa chupi?
kaka watanzania utawaweza? ni wabunifu sana wa mambo ya hovyo hovyo, wenye kupenda kulaumu wenzao wafanyao hovyo hovyo...mwisho wa siku hujikuta nao ni hovyoNimeona kwenye video mwanamke anaye toa vitu kwenye sanduku anachukua chupi na kuvua yake kisha ana vaa mpya.
Je huyo mwanamke mwenye pati alikuwa hajui ku vaa chupi?
promiseme ni kweli kabisa.Kitu kingine una mfundisha nini mwanamke wakati alisha kuwa na rafiki wa kiume na anajuaMie sioni kama mafunzo ya masaa yanasaidia pale nahisi wanarudisha vyombo walivyotowa wakati wenzao wanafanyiwa hiyo shughuli,utamkuta yule anae sasambua anashanga kama mkanda wa jeshi anakwambia mumeukamfanyie nini,mie naona aibu... wengine wanavua nguo yani balaa moja kwa zote...
Jiko lina tawaza?
Jiko lina tawaza?