pati ya jiko

pati ya jiko

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
hivi kina umuhimu gani wa hiyo pati,?kama kuna kitu wanajifunza ni nini na kwani nilazima wafanye kwenye ukumbi na watu wengi?uswahilini utakuta kuna watoto na vitu vinavyo onyeshwa si sahihi.je zamani hii kitu ilikuwepo,na kama ilikuwepo kunatofauti na sasa?
 
nia ya kitchen pati ni kumoatia vifaa vya ndani na vyombo binti, pamoja na mafunzo jinsi ya kuishi kwenye hyumba/ndoa (marunzo hutolewa kwa lugha ya staha) sasa kama watu wanaitumia vingine mmmmmh
 
Nimeona kwenye video mwanamke anaye toa vitu kwenye sanduku anachukua chupi na kuvua yake kisha ana vaa mpya.
Je huyo mwanamke mwenye pati alikuwa hajui ku vaa chupi?
 
Niliwahi kuhudhuria kichen pati mmoja daah yanayozungumzwa unyago sio unyagoni khaa
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Nimeona kwenye video mwanamke anaye toa vitu kwenye sanduku anachukua chupi na kuvua yake kisha ana vaa mpya.
Je huyo mwanamke mwenye pati alikuwa hajui ku vaa chupi?

unajua kitchen pati ni vile mnavyoandaa, malengo yenu ni nini..... Mkitaka( mambo ya kiswahili? )mtapeleka watu wa kusasambua....
Mkitaka ya kidini mtaleta watoa mafunzo ya kidini..
Mkitaka ya kawaida mweka wamama wa kawaida....
Mkitaka ya kuwaacha watu vinywa wazi jtaleta mashangingi yamjini yaje kukata mauno na kuvua pichu.......
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Nimeona kwenye video mwanamke anaye toa vitu kwenye sanduku anachukua chupi na kuvua yake kisha ana vaa mpya.
Je huyo mwanamke mwenye pati alikuwa hajui ku vaa chupi?
kaka watanzania utawaweza? ni wabunifu sana wa mambo ya hovyo hovyo, wenye kupenda kulaumu wenzao wafanyao hovyo hovyo...mwisho wa siku hujikuta nao ni hovyo
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Mie sioni kama mafunzo ya masaa yanasaidia pale nahisi wanarudisha vyombo walivyotowa wakati wenzao wanafanyiwa hiyo shughuli,utamkuta yule anae sasambua anashanga kama mkanda wa jeshi anakwambia mumeukamfanyie nini,mie naona aibu... wengine wanavua nguo yani balaa moja kwa zote...
 
promiseme ni kweli kabisa.Kitu kingine una mfundisha nini mwanamke wakati alisha kuwa na rafiki wa kiume na anajua
kila kitu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom