Pato la Taifa

Pato la Taifa

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Kuna sehemu nimesoma kuwa simu kwa maana ya mawasiliano inachangia asilimia sita ya pato LA taifa hivyo kunifanya niwe na shauku kujua vyanzo vyengine vinachangia kiasi gani katika pato LA taiga. Ningeshukuru kupata mchango Wa Mawazo toka kwenu wadau
 
Samahani hapo kuna makosa ya uchapaji ni pato LA taifa na sio pato LA taiga. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom