Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sehemu nimesoma kuwa simu kwa maana ya mawasiliano inachangia asilimia sita ya pato LA taifa hivyo kunifanya niwe na shauku kujua vyanzo vyengine vinachangia kiasi gani katika pato LA taiga. Ningeshukuru kupata mchango Wa Mawazo toka kwenu wadau
Tatizo sio yeye, ni Tecno!Samahani hapo kuna makosa ya uchapaji ni pato LA taifa na sio pato LA taiga. Nawasilisha