Nimezisikiliza Tetema zote tatu. Ukiachana na original waloimba Vanny boy na Mond, hii na kina Patoranking na Zlatan ni better than ile na kina Pitbull. Unyama aloufanya Patoranking kwenye verse yake si wa nchi hii.
Nimeshindwa kuipandisha hapa inagoma, anayeweza anisaidie.
Sired tayari