Patoranking afanya mauaji kwenye Tetema RMX II

Patoranking afanya mauaji kwenye Tetema RMX II

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Nimezisikiliza Tetema zote tatu. Ukiachana na original waloimba Vanny boy na Mond, hii na kina Patoranking na Zlatan ni better than ile na kina Pitbull. Unyama aloufanya Patoranking kwenye verse yake si wa nchi hii.

Nimeshindwa kuipandisha hapa inagoma, anayeweza anisaidie.
Sired tayari

Yes nimeikubali hii ya sasa, ile ya kina Pitbull ni takataka
 
Mbona naona kama biti nyepesi kwenye hii remix yaani imepoa sana haiamshi kama zile nyingine au masikio yangu
 
Nimezisikiliza Tetema zote tatu. Ukiachana na original waloimba Vanny boy na Mond, hii na kina Patoranking na Zlatan ni better than ile na kina Pitbull. Unyama aloufanya Patoranking kwenye verse yake si wa nchi hii.

Nimeshindwa kuipandisha hapa inagoma, anayeweza anisaidie.
Sired tayari

True true man... Panto is di fayah yaani ni nomaa!!
 
kibakuli alipofanya aje remix

wakasema oooh kaishiwaa, alibahatisha

lakini huko usafini remix ya tatu hii
 
Nilivyoona mauaji nikaanza kupata hofu
 
Back
Top Bottom