zinc
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,391
- 1,068
Wanaharakati wa JF,
Ninamusudu sana kiongozi Patrice Lumumba ambaye anaishi mioyoni mwetu sisi waafrika kwa ujumla mpaka sasa.
Patrice Lumumba alikufa kwa ajili ya wananchi wake wa Republic of Congo, alikataa mabepari kutoka nchi za nje kwa maneno na vitendo.
Huwa ninajiuliza sana kuhusu jengo la ccm ambalo lipo pale mtaa wa lumumba. Hivi huo mtaa wa lumumba ni heshima kwa nani? Kwani hilo jengo limeficha ufisadi kupitia viongozi wake, hivyo ni unafki wa hali ya juu sana huo mtaa kuitwa jina la lumumba ambao jengo la ccm lipo pale hadi sasa.
Ndiyo maana Tanzania hatutaendelea kama tutaendelea na unafki kiasi hiki. Labda lile jengo siku moja libomolewe au mtaa ubadilishwe jina uitwe jina lingine la mafisadi.