Malecela 4GB
Member
- Sep 4, 2016
- 33
- 14
evra si mstaarab..ni MTU wa kujikweza na kujiskiaPatrice Evra huyu jamaa najua ni mstarabu sana mpaka kufikia hatua ya kumdungua teke huyo shabiki hakika atakuwa alikerwa na maneno aliyotupiwa na huyo shabiki au alama alizoonyeshewa.
evra si mstaarab..ni MTU wa kujikweza na kujiskia
PATRICE EVRA AMPIGA SHABIKI WA TIMU YAKE TEKE LA KARATE
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116][emoji116] [emoji116]
Wamemtimua kabisa Mkuu. Aje avizie dirisha dogo bongo karibu linafunguliwa.Uongozi umemsimamisha. Na iwe fundisho kwa wachezaji wengine wenye kiburi kama yeye.
Humjui vizur patrice evra mkuu!!Patrice Evra huyu jamaa najua ni mstarabu sana mpaka kufikia hatua ya kumdungua teke huyo shabiki hakika atakuwa alikerwa na maneno aliyotupiwa na huyo shabiki au alama alizoonyeshewa.
Mhhh.. ..angekua Luis Nani wala nisinge gugo.evra si mstaarab..ni MTU wa kujikweza na kujiskia
Wamemtimua kabisa Mkuu. Aje avizie dirisha dogo bongo karibu linafunguliwa.
Acha mkuu, me mbona huwa namuona jamaa mtu mpole sana.Humjui vizur patrice evra mkuu!!