Patrice Evra ampiga shabiki teke kabla ya mechi ya UEFA

Patrice Evra ampiga shabiki teke kabla ya mechi ya UEFA

Malecela 4GB

Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
33
Reaction score
14
PATRICE EVRA AMPIGA SHABIKI WA TIMU YAKE TEKE LA KARATE
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116][emoji116] [emoji116]

 
Patrice Evra huyu jamaa najua ni mstarabu sana mpaka kufikia hatua ya kumdungua teke huyo shabiki hakika atakuwa alikerwa na maneno aliyotupiwa na huyo shabiki au alama alizoonyeshewa.
 
Itakuwa kaitwa nyani, huyu bro naye huwa hamezei vitu vidogovidogo
 
Back
Top Bottom