Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatu

Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatu

kuna thread niliwahi kuandika kuwa vyuo vya nje vinatumiwa na majasusi wa huko kuwaingizia fikra wanazotaka wanafunzi wanaokwenda hko, nikaishia kukejeliwa, afadhali hii mada imekuja.
Kaka, ninaomba link ya hiyo thread au ni-tag
 
walikuwa wote chuoni na walikuwa waefanana sana kiasi cha kwamba waliweza kutembea na kubadirishana wasichana wao bila kujua baada ya nafunzo Boudie alipelekwa Paris kuratibu mtandao wa ugaidi

Basi mimi nilichanganya, nilidhani Mohamed Budia ni undercover name la Yasir Arafat , katika pilikapilika zake na Carlos The Jackal!
 
Back
Top Bottom