Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatu

Muendelezo lini??

Ilikuwaje chuo hicho kikapewa jina la Lumumba???
Nilisoma sehemu baada ya mauaji ya PL ndo chuo kikaanza kuitwa hivyo. Kilianzishwa mwaka 60 , 61 PL akauawa na chuo kikaanza kuitwa hvyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…