Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatu

Click ID yake huyo Hutaki Unaacha kutoka kwenye post yangu hapo juu. Ukifanya hivi utafungungua JF profile ya huyo Hutaki Unaacha, kisha pitia nyuzi tano alizoanzisha. Ukifanikiwa kuzisoma zote, I am assuring you, You shall understand that.
Thanks
 
Hongera sana mzee baba. Uzi wa kibabe sana huu mwamba
 
Patrice Lumumba au RUDN, chuo chenye historia ya kusisimua, na Chuo ambacho waliosoma ndy wanajua raha yake.

Kifupi hicho chuo kimetoa watu wengi Mashuhuli Duniani, kuazia Rais wa zamani wa Namibia, Angola, Mahmood Abbas, Carlos the jackal etc.

Kuna simulizi za kusisimua Sana khs maisha ya hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tupe na Sisi hizo simulizi basi

Back
Top Bottom