Patrice Motsepe kupigwa chini CAF kwa sababu ya kujihusisha na ufisadi

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,843
Reaction score
29,350
Ni suala la muda tu. Rais wa CAF bilionea Patrice Motsepe yupo kikaangoni baada ya kuhusishwa na ufisadi wa kutisha ndani ya CAF. Wafuatiliaji wa kiintelejensia waliotega mitambo yao ndani ya shirikisho hilo wamegundua ufisadi wa kutisha unaomhusisha Motsepe moja kwa moja, akishirikiana na ofisa mmoja kutoka Jamhuri ya DRC (Mosengo-Omba) kupiga mabilioni ya fedha za CAF.

Inasemekana hata maamuzi ya juzi ya kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON kiutata yametokana na Motsepe kula njama na shirikisho la mpira la Morocco kupindisha baadhi ya vifungu vya mashindano ili kuwapa Morocco ushindi na kombe kimagumashi.

CAF ya Motsepe imeoza; inanuka rushwa nje ndani. Sitaki kukuchosha na maneno mengi, naomba ujisomee wewe mwenyewe hapo chini mkuu:

Hachomoki mbwa huyuu analiabisha Bara letu mbwa kibuyu
 
Sana Mpwa; hakuna namna anavyoweza kuchomoka kwenye hili sakata. Amejiingiza kingi mwenyewe.
 
Ni suala la muda tu. Rais wa CAF bilionea Patrice Motsepe yupo kikaangoni baada ya kuhusishwa na ufisadi wa kutisha ndani ya CAF. Wafuatiliaji wa kiintelejensia waliotega mitambo yao ndani ya shirikisho hilo wamegundua ufisadi wa kutisha unaomhusisha Motsepe moja kwa moja, akishirikiana na ofisa mmoja kutoka Jamhuri ya DRC (Mosengo-Omba) kupiga mabilioni ya fedha za CAF.

Inasemekana hata maamuzi ya juzi ya kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON kiutata yametokana na Motsepe kula njama na shirikisho la mpira la Morocco kupindisha baadhi ya vifungu vya mashindano ili kuwapa Morocco ushindi na kombe kimagumashi.

CAF ya Motsepe imeoza; inanuka rushwa nje ndani. Sitaki kukuchosha na maneno mengi, naomba ujisomee wewe mwenyewe hapo chini mkuu:

Ila huyu jamaa ana roho ngumu sana. Bado hajajiudhuru?
 
Back
Top Bottom