Patricia binti wa Pfunk Majani

Patricia binti wa Pfunk Majani

Leo Hii, Producer Mkongwe wa Bongoflava Pfunk Majani ametutambulisha mtoto wake wa Kwanza Aitwaye Patricia.. Binti huyu Ndio Dada yake Paula wa Kajala anasoma Chuo Cha sheria huko UK Uingereza..View attachment 1305505

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
Dude appears so mean and insecure all the time like he is always looking for something to prove. Kila picha yupo hivi.
 
Ni vizuri kuwastahi watoto wa kike wa wenzio.Ni jambo jema kutowarubuni na kuwatumia kingono LAKINI hio sio guarantee kuwa wakwako hawatatumika.
Bora umesema mkuu.. KARMA haipo kwenye vitu vya kipuuzi. Ni malezi tu yatabia ndo yatamjenga mwanao kuto kutombeka hovyo hovyo.. Haina uhusiano na tabia ya baba
 
Back
Top Bottom