Huyu kamanda alikuwa diwani wa Tabata , ni mtu shupavu asiyekubali kuburuzwa kibwege , baada ya kutambua hilo wanachadema wa Rombo wamempitisha kugombea ubunge ili kuziba pengo la msaliti Selasini .
Duru za wenyeji zinaonyesha kwamba hakuna wa kumzuia kuchukua jimbo hilo .