Uchaguzi 2020 Patrick Asenga Mbunge ajaye wa Rombo

Uchaguzi 2020 Patrick Asenga Mbunge ajaye wa Rombo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Instagram media - CCtnRxWps3E ( 564 X 640 ).jpg

Huyu kamanda alikuwa diwani wa Tabata , ni mtu shupavu asiyekubali kuburuzwa kibwege , baada ya kutambua hilo wanachadema wa Rombo wamempitisha kugombea ubunge ili kuziba pengo la msaliti Selasini .

Duru za wenyeji zinaonyesha kwamba hakuna wa kumzuia kuchukua jimbo hilo .

Mungu ibariki Chadema
 
Hata kama ni kutokukata tamaa sio hivi. Hata kura 20 hapati. Labda Selasini asigombee .
 
Back
Top Bottom