PreGE2025 Patrick Assenga ahaidi kitita cha Sh. Milioni 1 kwa atakeyeonesha video yake akifukuzwa kwenye kikao cha Jimbo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Jimbo la Segerea Mkoani Dar Es salaam, Bw. Patrick Asenga amesema taarifa zinazosambaa mtandaoni zikidai kuwa amefurushwa kwenye kikao cha Jimbo hilo Jumatatu Aprili 14, 2025 ni taarifa potofu, akiahidi kutoa Shilingi Milioni 1 kwa atakayechapisha video ama picha ikimuonesha sura, akiwa anafukuzwa kwenye mkutano huo kama inavyodaiwa na aliowaita wapotoshaji.

1744697808357.png
Akizungumza na JamboTv, Asenga amekiita kitendo hicho kama fitina dhidi ya watu wanaopingana na azimio la Chadema la No Reforms, No Election, akisisitiza kuwa msimamo wa Kundi lao (G55) bado umesalia kuwa uleule wa kushinikiza Chadema kushiriki kwenye uchaguzi Mkuu ili kuendeleza mapambano ya kudai mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.

"Chadema haiwezi kukaa miaka mitano bila wabunge, haiwezi kukaa miaka mitano bila madiwani na tuliwaambia, na tuwaambie tena haiwezekani kuuzuia uchaguzi ukiwa nje ya uchaguzi na hata kilichofanyika leo katika kujaribu kusambaza picha mitandaoni ni sehemu ya kutuua nguvu sisi kama G55.Msimamo wetu ni uleule, haubadiliki na tunajipanga kuzungumza na watanzania kutokana na kile ambacho kimejiri siku ya jana baada ya kushindwa kusaini Kanuni ya maadili ya uchaguzi mkuu." Amesema Asenga.

Akizungumzia Kikao kilichofanyika jana Jumatatu, Asenga ameeleza kuwa ni kweli kikao hicho kimefanyika jana kikiwa na ajenda ya maandalizi ya Ziara ya Viongozi wa kitaifa kwenye Jimbo hilo, badala yake ajenda ilibadilika na kuanza kujadili kuhusu migogoro mingine ya chama, suala ambalo lilisababisha yeye na baadhi ya Viongozi kuondoka mkutanoni hapo na hivyo kupelekea mzozano miongoni mwao kama ambavyo imeonekana kwenye video zilizosambaa mtandaoni.

Alipoulizwa ikiwa atashiriki kwenye Ziara ya Viongozi wa Kitaifa ya No reforms, No election, Asenga ameeleza kuwa hatoweza kushiriki kutokana na yeye kuwa tofauti kimsimamo na viongozi wake wa Chama, akiahidi JamboTv kuwa Kundi lao la G55 litazungumza na wanahabari hivi karibuni.

Soma: Pre GE2025 - DSM - Patrick Asenga afukuzwa kwenye kikao Segerea kwa kupinga ajenda ya 'No Reforms No Election'
 
Hizi kazi wanaziweza sana Mchome na Romanus 🐒
 
Chadema imekuwa case study ya udikteta ndani ya vyama vya siasa
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Asenga wewe unaweza kugombe ukashinda Ubunge??? Miaka yote unapigwa halafu unasema ugombee!!
Wnyie wote ni genge la Mbowe mnajua nyie hamjawahi kuwa wapinzani mlikua mnadanganya tu sasa Lisu kawakazia mnalia lia hameni chama mbona ni.rahisi kama unaona chama hakitaki kugombea na wewe una nguvu si unahama uje chama chauma au ccm uone kama utafanya huo ujinga wenu wa kutukana viongozi wenu.

Mbowe alishindwa uchaguzi kwa kura kwann mnaona nyie mna hati ya umiliki wa hicho chama chenu?? Hilo lilikua duka lenu sasa mnalia milio ha ha ha.
 
View attachment 3304787
Soma: Pre GE2025 - DSM - Patrick Asenga afukuzwa kwenye kikao Segerea kwa kupinga ajenda ya 'No Reforms No Election'
Ahadi,ahidi... pumbaavu sana
 
Asenga wewe unaweza kugombe ukashinda Ubunge??? Miaka yote unapigwa halafu unasema ugombee!!
Wnyie wote ni genge la Mbowe mnajua nyie hamjawahi kuwa wapinzani mlikua mnadanganya tu sasa Lisu kawakazia mnalia lia hameni chama mbona ni.rahisi kama unaona chama hakitaki kugombea na wewe una nguvu si unahama uje chama chauma au ccm uone kama utafanya huo ujinga wenu wa kutukana viongozi wenu.

Mbowe alishindwa uchaguzi kwa kura kwann mnaona nyie mna hati ya umiliki wa hicho chama chenu?? Hilo lilikua duka lenu sasa mnalia milio ha ha ha.
Kwa hiyo wote wanaoshindwa uchaguzi wanapoteza pia haki zao za kuwa na maoni yao na kusikilizwa?
Heche alishindwa uchaguzi wa Kanda lakini akateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu na akaendelea kuhemishiwa ndani ya chama.

Amandwa...
 
Ilianza hivi:

Mzee mwenye koti mbele: Akinyoosha mkono juu, aka - plead. "...Mh mwenyekiti, mimi nina neno, hatuwezi kuendelea na kikao tukiwa na muasi hapo". Baada ya kusema hili, anaamua kutoka nje, lakini wajumbe wenzake, baadhi wakimfuata kumrejesha wanamwambia, mzee hapana, rudi kaa, tulimalize hili...

Wajumbe wa kikao: Kila mmoja aki - shout kwa sauti; "Assenga aondoke, Assenga aondoke, hatumtaki...!

NOTE:
➡Hapo Patrick Assenga anasema, aoneshwe video akifukuzwa kwenye kikao. Kwake yeye kumbe anaweza kueleza hiki ni kitu gani kinachotokea hapo? Huku si ndo kukataliwa na kufukuzwa kwenyewe...!

➡Lakini mwisho anasema mwenyewe, alipoona kelele zimezidi, yeye na wenzake (haijulikani ni kina nani), waliamua kuondoka...!

➡Patrick Assenga, kufukuzwa kwenye kikao haina maana ya kufanana na tendo mbwa kufukuza digidigi. Kufukuzwa kwenye eneo au kikao ni kuambiwa ondoka, hatukutaki na kisha unaondoka iwe unataka au hutaki. Kukifanyika hivi, tendo la kufukuzwa linakuwa limekamilika..!

➡Nyie G55 kama akili zenu ndo ziko hivi, basi kumbe hilo ni kundi la wajinga watupu wanajiita wanasiasa na wasomi...!!
 
Labda alikua anaimbiwa pambio.Asenga wewe na kundi la Mbowe wote mmeshapigwa kubalini au hameni ccm hamtapata nafasi ya kufanya ujinga huo kutukana kiongozi wako.
 
Back
Top Bottom