Patrick Ausems huyo Jangwani

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Za chini chini zinasema kuwa aliekuwa kocha wa Simba, Bwana Patrick Ausems yupo katika mazungumzo na Dar Es Salaam Young Africans kwa ajili ya kui-coach timu hiyo inayopendwa sana katika ukanda wa nchi zote za Afrika ya Mashariki, Kusini na Kati na nchi zote zinazo patikana katika upande wa kaskazini wa River Limpopo.

Hans Pluijm, Marcio Maximo na Mwinyi Zahera ni miongoni mwa wanao tajwa kutua Jangwani

Let's wait and see
 
Nani anagombania kuja kula Matikiti na Vitumbua? [emoji23][emoji23]
Munapendwa wakati Eymael aliwakataa huku akiwaita Manyani na Mambwa! [emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hawa jamaa wanachekesha sana hawana pesa za kumlipa Dante watapata wapi pesa za kumlipa Patrick Aussems ???
 
Mnabadilosha makocha utafikiri mabenki tatu wa ndani, huyu dj alivyo kuja mlimpa promo sana lakini mwisho kaja kasepa tena kwa aibu.

Mpaka hapa tunaona ni jinsi gani yanga inaharibu CV ya makocha, na timu zingine hazitakua tayari kumsajili kocha yeyote yule aliyetokea yanga kulingana na club kutokua na chemistry nzuri na kocha
 
Huyo aliyeondoka tu mmeshindwa kutimiza ahadi mlizompa za kumpatia gari, dstv na WiFi na yule ni wa level ya chini kuliko huyu,huyo ausems je mtamuweza?

GSM si itafilisika??
 
Kila Unayemuona Mbele Yako Unaona Tajiri
Ukiwaza Unajiona Magumu Yanakuandama
Viongozi Wa Yanga Ndiyo Wanahaha Eti Kuzoa Vifusi Mtaani Kupeleka Jangwani Kujenga Uwanja

Mengine Yanatia Kinyaa!!πŸ˜πŸ˜πŸ˜—

Wanakuwa kama wakenya,kila wakiisikia Tz mavi yanagonga Pichu
 
YOUNG AFRICAN SPORTIO CLUB ijitahidi kuwalipa vyema na kwa wakati kutuepusha na aibu na fedhea wana yanga
 
Wanakuwa kama wakenya,kila wakiisikia Tz mavi yanagonga Pichu
HaaπŸ˜€πŸ˜„πŸ˜ƒ
Saa Hivi Utaona Yanga Na Kasheshe Ya Kugombana
Wenyewe Wanasema Mwaka Wa Tabu
Wimbo Huo Aliimba Ally Choki
 
Timu ya wananchi inapendwa sana, makocha wote hao wanagombania kujiunga na timu wananchi
Timu yenu bado inaitwa Dar Es Salaam Yanga Africa?
Au ni Young Africans sports club?

Au Manyani fc?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…