LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Za chini chini zinasema kuwa aliekuwa kocha wa Simba, Bwana Patrick Ausems yupo katika mazungumzo na Dar Es Salaam Young Africans kwa ajili ya kui-coach timu hiyo inayopendwa sana katika ukanda wa nchi zote za Afrika ya Mashariki, Kusini na Kati na nchi zote zinazo patikana katika upande wa kaskazini wa River Limpopo.
Hans Pluijm, Marcio Maximo na Mwinyi Zahera ni miongoni mwa wanao tajwa kutua Jangwani
Let's wait and see
Hans Pluijm, Marcio Maximo na Mwinyi Zahera ni miongoni mwa wanao tajwa kutua Jangwani
Let's wait and see