Patrick Ausems huyo Jangwani

HaaπŸ˜€πŸ˜„πŸ˜ƒ
Saa Hivi Utaona Yanga Na Kasheshe Ya Kugombana
Wenyewe Wanasema Mwaka Wa Tabu
Wimbo Huo Aliimba Ally Choki

Hahaaaaaaaaaaa,hawa jamaa wana maajabu mengi sana,wakiwa hawana pesa wanajiita timu ya wananchi,wakiwa na pesa wanajiita wa Kimataifa,hii mijamaa ni Utopolo mibobezi sana Mkuu
 
Hahaaaaaaaaaaa,hawa jamaa wana maajabu mengi sana,wakiwa hawana pesa wanajiita timu ya wananchi,wakiwa na pesa wanajiita wa Kimataifa,hii mijamaa ni Utopolo mibobezi sana Mkuu
HaaπŸ˜πŸ˜‚
Ndiyo Kama Mlevi Anakunywa Chimpumu Analewa Halafu Ananunua Bia Moja Anasukutua, Ili Aonekane Anakunywa Bia
 
Hivi Dada Shadeeya nawe una mawazo mgando kama utopolo huyu?
Au wewe una mawazo mtambuka.

Ila Dada kuna mtu hapa ananisumbua sana kwa swali lake.
Ukiondoa ushabiki "hivi kati ya Feisal Salum (Fei toto) na Cleatous Chota Chama, ni yupi kiungo bora yaani fundi haswa wa mpira .?
 
Ausems simkubali kama kocha mzuri, aheri tumrudishe Hans Pluijm. Hata kocha wa sasa wa Simba ana shauku kubwa kuifundisha Yanga.
 
Alichokosea mleta uzi kwani ni kipi eti Mtani?
 
Baada ya kipindi cha mpito, sasa ile timu ya wananchi inarejea ikiwa full, mwendo ni kugawa vipigo vya paka mwizi. Tahadhari kwa simba, hii tabia ya kupita mbele yetu na kanga moko mwaka huu tunaenda kuizika rasmi.
 
HUU NDO UNYANI WENYEWE ALIOUSEMA LUC EYMAEL.

Baada ya kipindi cha mpito, sasa ile timu ya wananchi inarejea ikiwa full, mwendo ni kugawa vipigo vya paka mwizi. Tahadhari kwa simba, hii tabia ya kupita mbele yetu na kanga moko mwaka huu tunaenda kuizika rasmi.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Tutake radhi Bana. Minziro???

Mkwassa wacha apumzike kwanza
Kwa aina ya wachezaji inaowasajili Yanga ni heri Timu ikabaki na Kocha Mkwasa na Minziro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…