Patrick Ausems huyo Jangwani

Patrick Ausems huyo Jangwani

HaaπŸ˜€πŸ˜„πŸ˜ƒ
Saa Hivi Utaona Yanga Na Kasheshe Ya Kugombana
Wenyewe Wanasema Mwaka Wa Tabu
Wimbo Huo Aliimba Ally Choki

Hahaaaaaaaaaaa,hawa jamaa wana maajabu mengi sana,wakiwa hawana pesa wanajiita timu ya wananchi,wakiwa na pesa wanajiita wa Kimataifa,hii mijamaa ni Utopolo mibobezi sana Mkuu
 
HaaπŸ˜πŸ˜‚
Ndiyo Kama Mlevi Anakunywa Chimpumu Analewa Halafu Ananunua Bia Moja Anasukutua, Ili Aonekane Anakunywa Bia
 
Hivi Dada Shadeeya nawe una mawazo mgando kama utopolo huyu?
Au wewe una mawazo mtambuka.

Ila Dada kuna mtu hapa ananisumbua sana kwa swali lake.
Ukiondoa ushabiki "hivi kati ya Feisal Salum (Fei toto) na Cleatous Chota Chama, ni yupi kiungo bora yaani fundi haswa wa mpira .?
 
Za chini chini zinasema kuwa aliekuwa kocha wa Simba Bwana Patrick Ausems yupo katika mazungumzo na Dar Es Salaam Young Africans kwa ajili ya kui-coach timu hiyo inayopendwa sana katika ukanda wa nchi zote za Afrika ya Mashariki, Kusini na Kati na nchi zote zinazo patikana katika upande wa kaskazini wa River Limpopo.

Hans Pluijm, Marcio Maximo na Mwinyi Zahera ni miongoni mwa wanao tajwa kutua Jangwani

Let's wait and see
Ausems simkubali kama kocha mzuri, aheri tumrudishe Hans Pluijm. Hata kocha wa sasa wa Simba ana shauku kubwa kuifundisha Yanga.
 
Hivi Dada Shadeeya nawe una mawazo mgando kama utopolo huyu?
Au wewe una mawazo mtambuka.

Ila Dada kuna mtu hapa ananisumbua sana kwa swali lake.
Ukiondoa ushabiki "hivi kati ya Feisal Salum (Fei toto) na Cleatous Chota Chama, ni yupi kiungo bora yaani fundi haswa wa mpira .?
Alichokosea mleta uzi kwani ni kipi eti Mtani?
 
Baada ya kipindi cha mpito, sasa ile timu ya wananchi inarejea ikiwa full, mwendo ni kugawa vipigo vya paka mwizi. Tahadhari kwa simba, hii tabia ya kupita mbele yetu na kanga moko mwaka huu tunaenda kuizika rasmi.
 
HUU NDO UNYANI WENYEWE ALIOUSEMA LUC EYMAEL.

Za chini chini zinasema kuwa aliekuwa kocha wa Simba Bwana Patrick Ausems yupo katika mazungumzo na Dar Es Salaam Young Africans kwa ajili ya kui-coach timu hiyo inayopendwa sana katika ukanda wa nchi zote za Afrika ya Mashariki, Kusini na Kati na nchi zote zinazo patikana katika upande wa kaskazini wa River Limpopo.

Hans Pluijm, Marcio Maximo na Mwinyi Zahera ni miongoni mwa wanao tajwa kutua Jangwani

Let's wait and see
 
Timu yenu bado inaitwa Dar Es Salaam Yanga Africa?
Au ni Young Africans sports club?

Au Manyani fc?
MY Scientific proof that whites are closer to monkeys than blacks
image001.gif
 
Baada ya kipindi cha mpito, sasa ile timu ya wananchi inarejea ikiwa full, mwendo ni kugawa vipigo vya paka mwizi. Tahadhari kwa simba, hii tabia ya kupita mbele yetu na kanga moko mwaka huu tunaenda kuizika rasmi.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Tutake radhi Bana. Minziro???

Mkwassa wacha apumzike kwanza
Kwa aina ya wachezaji inaowasajili Yanga ni heri Timu ikabaki na Kocha Mkwasa na Minziro.
 
Back
Top Bottom