Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
ndio MO ndio kila kitu simba, hukumbuki alivyolalamika kutumia bilion 4 kuhudumia timu ikabidi viongoz wa simba wampigie magoti? MO akiondoka na timu imekufaUliangalia balance sheet ya Simba ukaona pesa zote ni za Mo?
ndio MO ndio kila kitu simba, hukumbuki alivyolalamika kutumia bilion 4 kuhudumia timu ikabidi viongoz wa simba wampigie magoti? MO akiondoka na timu imekufa
hivi unajua simba kabla ya mo hajaingia ilivyokuwa?Simba ni brand kubwa weweee,sisi tutasonga mbele hata akijiachia leo,matajiri wa Simba tupo wengi tu na tutapeana majukumu ya kuisimamia timu yetu kama zamani
kwa iyo simba ni matajiri kwa pesa za MO?
Nijuze kwa nini Tshitshimbi karudisha fedha ?
Ok kumbe mambwa yapo kama manyani hayaelewi mpira ni pesaAlirudisha kwasababu hela ni ndogo na Mambwa FC hawakuwa na uwezo wa kumuongeza, vilevile walishindwa kumkubalia mshahara aliouhitaji kwenye Mkataba mpya.
Ok kumbe mambwa yapo kama manyani hayaelewi mpira ni pesa
hahaha Simba wanajisifia ni matajiri kwa pesa za MO. Yule muhindi siku akiwachoka hawataaminiMNAVYOSIFIA WANAUME WENZENU KHA.KAMA WANAWASAIDIA MADADA ZENU HUKO..
mkuu ushabiki sio matusi!ila ile canter ya wazi mliotoka nayo airport mmetia aibu bora mngewaomba ata clods lilie gari lao la matangazoNani anagombania kuja kula Matikiti na Vitumbua? [emoji23][emoji23]
Munapendwa wakati Eymael aliwakataa huku akiwaita Manyani na Mambwa! [emoji16][emoji16]
Hahahahaaa!!! Na kweli aisee Mtani.Ila Mtani Yanga wangejua unavyowapigania humu JF wangekupa kitengo.
Imefikia sehemu Yanga inapocheza nakuwazia wewe unavyoteseka.
Yaani nikiiwaza Yanga JF nakuona wewe.
Hongera sana kwa hilo.
mkuu ushabiki sio matusi!ila ile canter ya wazi mliotoka nayo airport mmetia aibu bora mngewaomba ata clods lilie gari lao la matangazo
π€£Lol
#DaimaMbeleNyumaMwiko.