Juzi kwenye daladala kuna shabiki mmoja wa Utopolo fc akawa analopoka eti Simba wa mme wao MO, mmoja akamuuliza mbona na nyie mlikua na Manji akawaacha saizi mnaye GSM. Akaanza kulopoka tena namnukuu, ( sisi Utopolo fc hatuna Mme ka ma MO, wa kwetu sisi hana hela ka wenu). Mwisho wa kumnukuu.
Badae akauulizwa tena ko unamkataa GSM kua mme wenu kisa hana hela ka MO? Lakini si anakuhudumia kila kitu?
Badala kujibu hoja akaendelea kuropoka tena , nyie Simba mmeolewa.
Mi kwa sababu nilikua msikilizaji nikakumbuka kauli ya Luc kua mashabiki wa Utopolo fc yanabweka tu ka mbwa na kuropoka ka Manyani.