Patrick Aussems ameibadilisha sana Simba SC

Naungana nawe mkali, unawaacha wachezaji zaidi ya sita alafu unasajili wngn kupitia picha za youtube c usenge huu ndy maana this time simba imefeli mapema sana
Anaondoka Hazard chelsea kwa kuuzwa sembuse akina Okwi+Kotei ambao hawana mkataba?..
Ulifikiri wataozea simba?
 
Wale wabrazil kiukweli hawana kitu cha ziada.kama yule fraga anatumia nguvu sana kukaba halafu anabutua tu...anamakosa katika kutoa pasi....so far usajili huu simba wamefail kwa fraga na shamte..
Simba msimu huu haikulenga kusajiri kwa kushindana katika mashindano ya Clab bingwa Afrika.
Ni Shiboub peke yake ndiye mchezaji mpya wa kigeni mwenye kiwango cha kusajiriwa Simba kwa ligi ya mabingwa Afrika.
Lakini ifahamike kuwa Simba kwa Sasa ni Kampuni na inajiendesha kibiashara.
Inawezeka malengo ya msimu huu ni kukuza biashara ndani ya Clabu, hivyo usajiri umezingatia kukuza vyanzo vya Mapato na kutengeneza faida, Kama ilivyokuwa kwa timu ya Asernal wakati fulani.
Ukimwacha Shiboub wachezaji wapya wa kigeni waliosajiriwa msimu huu wanaviwango vya chini wakilinganishwa na wachezaji wa ndani, akina Ajibu , au Rashidi Juma, Ndemla, Mzamiru, Mkude, au Miraji.
Ndio maana mapema ikatolewa na UD Songo ambayo nayo ishafungwa na Platinum ya Zimbabwe.
Msimu huu ni wa kufurahia swaga za akina Fraga, Santos, Wilka, Kanda, Kahata na wengineo na watakapo cheza na Polisi Moshi. na kutengeneza faida.
Tugange yajayo.
Yajayo ya Mshambuliaji wa kwenye benchi, mbrazili Wilka emarson.
 
Na kweli, na hela ya kununua mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…