3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Yanga haijitambui..?Ukitaka ujue simba mbovu icheze na timu inayojitambua,honestly ligi yetu ni mbovu sana,yaani ukiangalia mechi zinatia kinyaa maana hazina mvuto na kiwango kibovu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga haijitambui..?Ukitaka ujue simba mbovu icheze na timu inayojitambua,honestly ligi yetu ni mbovu sana,yaani ukiangalia mechi zinatia kinyaa maana hazina mvuto na kiwango kibovu sana.
Anaondoka Hazard chelsea kwa kuuzwa sembuse akina Okwi+Kotei ambao hawana mkataba?..Naungana nawe mkali, unawaacha wachezaji zaidi ya sita alafu unasajili wngn kupitia picha za youtube c usenge huu ndy maana this time simba imefeli mapema sana
Umetaja tarehe ya Zahera kufutwa kazi mkuuMumpange 4 January 2020 kama hamjavunja viti
Simba msimu huu haikulenga kusajiri kwa kushindana katika mashindano ya Clab bingwa Afrika.Wale wabrazil kiukweli hawana kitu cha ziada.kama yule fraga anatumia nguvu sana kukaba halafu anabutua tu...anamakosa katika kutoa pasi....so far usajili huu simba wamefail kwa fraga na shamte..
Na kweli, na hela ya kununua mechi.Simba msimu huu haikulenga kusajiri kwa kushindana katika mashindano ya Clab bingwa Afrika.
Ni Shiboub peke yake ndiye mchezaji mpya wa kigeni mwenye kiwango cha kusajiriwa Simba kwa ligi ya mabingwa Afrika.
Lakini ifahamike kuwa Simba kwa Sasa ni Kampuni na inajiendesha kibiashara.
Inawezeka malengo ya msimu huu ni kukuza biashara ndani ya Clabu, hivyo usajiri umezingatia kukuza vyanzo vya Mapato na kutengeneza faida, Kama ilivyokuwa kwa timu ya Asernal wakati fulani.
Ukimwacha Shiboub wachezaji wapya wa kigeni waliosajiriwa msimu huu wanaviwango vya chini wakilinganishwa na wachezaji wa ndani, akina Ajibu , au Rashidi Juma, Ndemla, Mzamiru, Mkude, au Miraji.
Ndio maana mapema ikatolewa na UD Songo ambayo nayo ishafungwa na Platinum ya Zimbabwe.
Msimu huu ni wa kufurahia swaga za akina Fraga, Santos, Wilka, Kanda, Kahata na wengineo na watakapo cheza na Polisi Moshi. na kutengeneza faida.
Tugange yajayo.
Yajayo ya Mshambuliaji wa kwenye benchi, mbrazili Wilka emarson.