chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Nilichoupendea huu uzi usimba na uyanga haupo ni nondo tu zinashushwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fraga(kiungo mkabaji haswaa) unamuona afai kwasabau hana mbwembwe za kupiga kanzu,tobo ila ni mchezaji mwenye kutekeleza majukumu yake uwanjani. Ila ni mchezaji mzuri tu.Mimi kwa upande wangu naona Shiboub na Tairone wapo vizuri ila kwa Deo Kanda na Fragas pale Simba kala za uso. Na huyo Wilker bado hatujui uwezo wake maana kacheza chini ya dakika kumi tu tangu ligi ianze.
Kile kilitufanya tukaingia Robo fainali ya Champions League!Kilichofanya muwe mnapigwa 5 5 5 ni nini?
Hahaa nadhani hili ni jibu sahihi kabsaSimba sio timu nzuri, bali ligi kuu imejaa timu mbovu , ndio maana walivyocheza na vibonde UD SONGO akina Kagere, Chama, Shibob hawakuonekana kabisa, ligi ya tanzania inatakiwa iwe na timu tano tu
Mkuu hapo kwa Shiboub habari nyingine hyo,,Mwanzoni Simba ilikuwa inacheza pasi fupifupi na taratibu baada ya ujio wa Patrick aussems Simba inacheza pasi za haraka na counter attack.
Lakini pia kitendo chake Cha kuwapa nafasi karibia wachezaji wake wote kwenye kikosi chake kwa lugha nyingine anafanya rotation makocha wachache Sana wanafanya hiv.ila kwenye caf champion league ameangushwa na usajili wa miemuko wa viongozi wa simba.hiv inaingia akili kwel unamsajili deo Kanda mcheza na jukwaa unamuuacha okwi mzee wa kazi,unamuuacha haruna niyonzima unamsajili shubob wakati kilikuwa hakuna ulazima wakufanya hivo,wale wabrazili ndo takataka kabisa hata sitaki kuwazungumzia unaona kazi anayofanya Kenneth juma anajua kutumia urefu wake vizuri anawin mipira yote ya juu tumeona kwenye mech ya Jana kiasi ambacho Wawa akawa kama yupo likizo lakini Lile librazili gerson ni lilefu lakini hajui kutumia urefu wake lakini Mara nyingi anakuwa out of position.
Unaenda kumsajili kiungo wa kibrazili ambaye ata robo ya uwezo wa kotei hana hii ni akili au matope
NB: next time uongozi wa Simba msifanye usajili wa miemuko ili mumsaidie Patrick aussems kufanya kazi yake kwa ufanisi.
Mkuu hadi leo yanga kacheza game moja tu VPL,,Simba sio timu nzuri, bali ligi kuu imejaa timu mbovu , ndio maana walivyocheza na vibonde UD SONGO akina Kagere, Chama, Shibob hawakuonekana kabisa, ligi ya tanzania inatakiwa iwe na timu tano tu
Umeanza vizuri kumbe takataka.Mwanzoni Simba ilikuwa inacheza pasi fupifupi na taratibu baada ya ujio wa Patrick aussems Simba inacheza pasi za haraka na counter attack.
Lakini pia kitendo chake Cha kuwapa nafasi karibia wachezaji wake wote kwenye kikosi chake kwa lugha nyingine anafanya rotation makocha wachache Sana wanafanya hiv.ila kwenye caf champion league ameangushwa na usajili wa miemuko wa viongozi wa simba.hiv inaingia akili kwel unamsajili deo Kanda mcheza na jukwaa unamuuacha okwi mzee wa kazi,unamuuacha haruna niyonzima unamsajili shubob wakati kilikuwa hakuna ulazima wakufanya hivo,wale wabrazili ndo takataka kabisa hata sitaki kuwazungumzia unaona kazi anayofanya Kenneth juma anajua kutumia urefu wake vizuri anawin mipira yote ya juu tumeona kwenye mech ya Jana kiasi ambacho Wawa akawa kama yupo likizo lakini Lile librazili gerson ni lilefu lakini hajui kutumia urefu wake lakini Mara nyingi anakuwa out of position.
Unaenda kumsajili kiungo wa kibrazili ambaye ata robo ya uwezo wa kotei hana hii ni akili au matope
NB: next time uongozi wa Simba msifanye usajili wa miemuko ili mumsaidie Patrick aussems kufanya kazi yake kwa ufanisi.
Kocha hakutaja majina ya aňowataka bali sifa ya mchezaji anayemtaka.Mkuu hapo kwa Shiboub habari nyingine hyo,,
Kwa Wabrazil tumepgwa nakubali kabisa,
Ukweli ni kwamba huo usajili kocha hajausika kabisa,,
ShiboubKabla kuanza kulaumu muwe mnafatilia habari...kwa akili yako unafikiri Simba waipenda kuwaacha Okwi na Kotei..wachezaji wenyewe hawakutaka kuongeza mikataba walitaka kuondoka baada ya kupata ofa nzuri team nyingine..
Okwi alishasema akishindwa atarudi tena simba kama wakiwa bado wanamuhitaji..
Kati ya wale Wabrazil yule Beki mrefu mbona anacheza vizuri na ametulia huwa anawin dual ball zote..siku akicheza tulia muangalie anavyocheza..
Halafu Shiboub unamuangalia vizuri kweli anavyocheza? hebu tulia kijana angalia anavyocheza upate burdani.
Ni kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya mabingwa wa Afrika. Hauwezi kufungwa hizo usipofikia hatua hiyoKilichofanya muwe mnapigwa 5 ni nini?
Yanga wakupe nafasi pale,,Mimi bana hunitoi yanga. ila hapa umesema kweli mtani. Simba ilihitaj maboresho kidogo tu ili msimu huu waendelee walipoishia ila wamefumus kikos chote ndomana timu imeanza upya tena. Kama kikos kingebski vilevile na kuboreshs tu safu ya ulinzi basi mwaka huu ingekuwa semi final kama si final kabisa. Ila bado simba iko poa
Mkuu, huyo Mkude si yupo Simba? Sasa ulitaka Simba wamsajili Mkude badala ya Fraga, wakati tayari Mkude yupo Simba!Kwa Fragas na Deo Kanda sijui wenzangu mnatumia vigezo gani. Wachezaji wapya wanaposajiliwa tunategemea wawazidi wale waliowakuta na waliondoka. Tukianza na Fragas je anakitu gani cha kumzidi sana Mkude pamoja na mapungufu yake? J
Umeanza kupiga ramliUlichoongea ni ushabiki wa kijinga tutaona hao wabrazili Kama watadumu hapo Simba zaidi ya mwaka mmoja
Kile kilitufanya tukaingia Robo fainali ya Champions League!
Ni kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya mabingwa wa Afrika. Hauwezi kufungwa hizo usipofikia hatua hiyo
Kama ni kweli watakuwa tayari wamejifunza kitu.Mkuu hapo kwa Shiboub habari nyingine hyo,,
Kwa Wabrazil tumepgwa nakubali kabisa,
Ukweli ni kwamba huo usajili kocha hajausika kabisa,,
Kanda yupo kwa mkopo wa mwaka 1 kutoka TP Mazembe.Kanda nadhani tumeuziwa saa kumi 12, alikuwa mzuri Sana kwa wale ambao tunamfahamu, alikuwa mzuri ila kwa Sasa amebaki na maufundi tu but Hana sumu golini, shiboub ni mtu na nusu, fraga na yule beki mbrazil ni wazuri, wanafanya majukumu yao vizuri, siyo wabaya wakizoea ligi na soka la kiafrika watakuwa poa, kahata pia ni mzuri akicheza katkat I mean namba kumi, ila winger sidhani Kama inamfaa Sana, kutolewa kwetu nadhani tumeanza kucheza qualifications bila hata kucheza mechi za ligi compared na last season tulikuja kucheza champions league katkat ya league, wachezaji walisha zoeana na pia match fitness walikuwa nayo msimu huu, zaidi ya mechi ya Simba day