Patrick Aussems kukimbia Msimbazi

Patrick Aussems kukimbia Msimbazi

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu, hizi habari zilinazotrend toka Jana kuwa jamaa kaikacha msimbazi then kaonekana JK Nyerer Airport kana kwamba anakwea pipa.

Pia, inasemekana kuwa pale msimbazi wamevunja whole bench la ufundi.
hizi habari zimekaaje wakuu.
 
[emoji116][emoji116]
Screenshot_20191119-111440.jpeg
 
Ushabiki wa Simba na Yanga ukiuchukulia siriasi' unaweza pata kichaa,sijui ilitokeaje zikawa Timu za Kitaifa...hizi zilitakiwa ziendelee kuwa ni Timuza Mitaa ya Jangwani na Msimbazi tu,Kama ilivyo Kyaku_kumensa ya Kinampanda!
5imba sio timu ya kitaifa, ni timu ya wahindi wahindi wa pale sokoni Msimbazi. Habari za Uchebe kutimuliwa kama sio leo basi kesho, ni suala tu la wakati. Haiwezekani mume achome msuli mke agomee mtandio
 
ahaaa[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom